Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ushawaambia ndugu wasikutafute ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwaio hamna nafasi hata ya kuwa mke wa pili, funga kwaresma inaanza naamini Mungu atakufungulia, ila ujutie makosa yako na umuombe Mungu akunusuru na karma.Mkristo.
Alifanya akiwa na malengo yake kuwa wewe ni wake wa maisha hadi Kifo kiwatenganishe! Tatizo ni tofauti ya tafsiri ya ndoa Kati ya me na ke. Kwetu me, anayewupply k na ukaenjoy huyo ni Mke wa ndoa. Nyie mume wa ndoa ni yule mmekwenda kanisani!! Na kuwa na cheti cha ndoa!Mimi hivyo vyote sikuwahi kuomba, alifanya kwa mapenzi yake binafsi.
Ahsante kwa muongozo mkuu.Thread Tele Humu Watu Wanakufa Kisa Mapenzi Nawe Umeanza
Rudisha
Gari Alilokununulia
Nyumba Aliyokujengea
Kodi Anayolipa
Halafu Huyo Unayempenda Mkaanze Upya
Hapo Umenasa Mwenyewe, Huna Namna
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12]Ila sijui baadhi ya wanawake mnamatatizo gani,wewe toka anakutongoza unajua kbc ni mume wa mtu ila ukamkubali jamaa akaanza kuwekeza kwako ukaendelea kumpa mapenzi moto moto yaani huwazi kbc huko mbeleni kitatokea nn.Hukujua kwamba utahitaji ndoa au kuzaa?ili ujue hako Kajamaa kanakupenda mpe hizo bili alipe yeye uone atakavyo kimbia mwendo wa duma wakati yeye mwenyewe kafuata mserereko kwako.
Sihusiki na huu Uzi kabisa chief[emoji4]DeepPond isije ikawa huyo kibopa anaezungumziwa kwenye uzi huu ni wewe!! Mchepuko wako umeamua kufungua thread jamii forum kukulaumu.
Ni bora umuoe tu kama mke wa pili
Hahahaha [emoji1787][emoji1787] asee1: uko tiyari kuachia nyumba?
2: uko tiyari kuachia gari?
3: uko tiyari kuikosa hiyo kazi?
4;hako ka serengeti boy kana chochote au kamekupendea mali za jamaa?
Kama yote hayo uko tiyari muweke wazi ondoka bila chochote.
Ila nakuhakikishia hako ka serengeti baada ya miezi 2 tu katakuacha maana hutokuwa na chochote.
Kuanzia hapo utakuwa nagundu hata mme wa kukuoa hutompata.
Utaishia kulala na vitoto ambavyo unavizidi umri, na vitakuzalisha vikutekeleze.
Mimi nimekuelewa ila ujinga uloufanya ni kumruhusu akawekeza kwako wakati humpendi.
Dada kuna siku utapauka utakumbuka hii comment. Unakwenda kukosa kila kitu kisa hicho kivulana ulichokipata na wenda hakina kitu labda smartphone na laptop.
Dada duniani huwezi pata vyote, bora ukose upendo lakini unahudumiwa.
Nani kakudanganya hako kavulana katakupa raha kuliko huyo baba?
Ondoka ila jiandae kupauka, nimeona walofanya kama wewe wanatamani kurudisha siku nyuma.
Ukipenda jibu maswali hapo juu.
kiukweli yawezekana mleta mada ni bonge la demu, tena mweupe mzuri mwenye tako kubwa laini na shepu la maana, na ulishampa huyo mume wa mtu mpaka kusikoingilika. Kama sio, basi wewe ni mshirikina mkubwa tena mchawi kabisa ulomlisha mume wa mtu limbwata,........
mpaka akasahau kuwekeza kwenye familia yake na kukujengea wewe nyumba, kukuangaikia na kukununulia gari, hakika moto wa milele unakungoja kwa hamu shuwain kabisa wewe, nyie ndo mnavuruga familia za watu, mchepuko haramu sana wewe.
na kama ulivyoiba mume wa mtu na kumuingiza gharama mpaka kasahau familia yake, na mwanaume atakae kuoa/mumeo nae akaibiwe na mwanamke mwenzako mara 7 zaidi na akaingizwe gharama mpaka asahau kama anafamilia na wewe.
Wanawake bwana usikute kupata vitu vyote hvyo ulienda kwa mganga ili akupende na akusikilize leo ushatimiza lengo unataka kukimbia we unadhani hzo ni akili za kawaida.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Married men have accomplished greater things in this country than all the NGOs combined.
Yote ulosema sio kweli. Mkewe anaendesha range mimi vanguard wapi na wapi? Hajaisahau familia yake hata kidogo na ni mtu amejiwekeza sana
Aisee pole sana. Nadhani ambacho hukipati kwake ni heshma ya kua mke na uhuru( japo sidhani kama unaweza kumwambia hayo!)Kuwa mke wa pili tena wakati ndilo ninalotaka kulikimbia? Kuhusu kuolewa alishaniambia hicho ninachokwenda kukitafuta huko ambacho sikipati kwake ni nini?
Vp mkuu haka sio kale kamchepuko ketu??Duh![emoji848]