Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo

kiukweli yawezekana mleta mada ni bonge la demu, tena mweupe mzuri mwenye tako kubwa laini na shepu la maana, na ulishampa huyo mume wa mtu mpaka kusikoingilika. Kama sio, basi wewe ni mshirikina mkubwa tena mchawi kabisa ulomlisha mume wa mtu limbwata,........

mpaka akasahau kuwekeza kwenye familia yake na kukujengea wewe nyumba, kukuangaikia na kukununulia gari, hakika moto wa milele unakungoja kwa hamu shuwain kabisa wewe, nyie ndo mnavuruga familia za watu, mchepuko haramu sana wewe.

na kama ulivyoiba mume wa mtu na kumuingiza gharama mpaka kasahau familia yake, na mwanaume atakae kuoa/mumeo nae akaibiwe na mwanamke mwenzako mara 7 zaidi na akaingizwe gharama mpaka asahau kama anafamilia na wewe.
 
kwaio hamna nafasi hata ya kuwa mke wa pili, funga kwaresma inaanza naamini Mungu atakufungulia, ila ujutie makosa yako na umuombe Mungu akunusuru na karma.
Mungu ana njia zake za kubadili mambo, unaweza shangaa mkewe akakutafuta na kukupeleka polisi uachane na mmewe, na mme akaona aachane na wewe ili kulinda ndoa yake, everything is possible
 
Mimi hivyo vyote sikuwahi kuomba, alifanya kwa mapenzi yake binafsi.
Alifanya akiwa na malengo yake kuwa wewe ni wake wa maisha hadi Kifo kiwatenganishe! Tatizo ni tofauti ya tafsiri ya ndoa Kati ya me na ke. Kwetu me, anayewupply k na ukaenjoy huyo ni Mke wa ndoa. Nyie mume wa ndoa ni yule mmekwenda kanisani!! Na kuwa na cheti cha ndoa!
 
Wanawake bwana usikute kupata vitu vyote hvyo ulienda kwa mganga ili akupende na akusikilize leo ushatimiza lengo unataka kukimbia we unadhani hzo ni akili za kawaida.
 
Thread Tele Humu Watu Wanakufa Kisa Mapenzi Nawe Umeanza
Rudisha
Gari Alilokununulia
Nyumba Aliyokujengea
Kodi Anayolipa

Halafu Huyo Unayempenda Mkaanze Upya
Hapo Umenasa Mwenyewe, Huna Namna
Ahsante kwa muongozo mkuu.

Hii ndio comment iliyokuwa inazunguka kwenye mhimili wa oblongata yangu pindi nasoma hii hadithi.

Sasa tutoke kwenye Mchumba hasomeshwi tuingie kwenye Mchepuko hajengewi nyumba wala kupangishiwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12]
 
Ahsante kwa muongozo mkuu.

Hii ndio comment iliyokuwa inazunguka kwenye mhimili wa oblongata yangu pindi nasoma hii hadithi.

Sasa tutoke kwenye Mchumba hasomeshwi tuingie kwenye Mchepuko hajengewi nyumba wala kupangishiwa

Nakazia

Jiwe Alikuwa Anasema I Cement My Point

 
DeepPond isije ikawa huyo kibopa anaezungumziwa kwenye uzi huu ni wewe!! Mchepuko wako umeamua kufungua thread jamii forum kukulaumu.

Ni bora umuoe tu kama mke wa pili
Sihusiki na huu Uzi kabisa chief[emoji4]
Nishafanya intelligence ya kutosha KUANZIA Iyo Jana mpk leo asbuh.

Kuna MDA nilihisi Ni Mchepuko wangu ndo anatext, nikamvizia nikae nae nione Kama mtoa mada atastop kujibu replies.

Nikagundua bado mtoa mada anajibu wkt uyu Niko nae Hapa Hapa na ahajashika Simu Wala PC.
 
Hahahaha [emoji1787][emoji1787] asee
 
Nyie ndio wanawake wa kuuliwa kabisa mbwa nyie. Umefanyiwa vyote hivyo bila hiyana au ulimuendea kwa mganga?
 

Yote ulosema sio kweli. Mkewe anaendesha range mimi vanguard wapi na wapi? Hajaisahau familia yake hata kidogo na ni mtu amejiwekeza sana.
 
Wanawake bwana usikute kupata vitu vyote hvyo ulienda kwa mganga ili akupende na akusikilize leo ushatimiza lengo unataka kukimbia we unadhani hzo ni akili za kawaida.

Sijawahi na siwezi kwenda kwa mganga.
 
Rudisha gari na nyumba mkabidhi mtaachana bila hata kinyogo yaan kiroho safi😂😂😂
 
Yote ulosema sio kweli. Mkewe anaendesha range mimi vanguard wapi na wapi? Hajaisahau familia yake hata kidogo na ni mtu amejiwekeza sana

Umepewa vanguard halafu bado unaleta ushubwada....huyo unaedate nae ana hata crown?

Wanawake dizaini yenu huwa hamjui mnataka nn mwisho wa siku mnakuja kulazwa chini ya magunia ya mkaa
 
Kuwa mke wa pili tena wakati ndilo ninalotaka kulikimbia? Kuhusu kuolewa alishaniambia hicho ninachokwenda kukitafuta huko ambacho sikipati kwake ni nini?
Aisee pole sana. Nadhani ambacho hukipati kwake ni heshma ya kua mke na uhuru( japo sidhani kama unaweza kumwambia hayo!)
 
Ushauri wa bure: Hicho ndicho kikombe chako, kinywee.

By the way, huyo mpenzi wako mpya naye ajiandae, siku zake zinahesabaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…