😃😀😀Amekula Ya Mbuzi Sasa Ataota MapembeBwana wee yaani wakati anapewa mkoko na nyumba hajatuita tumshauri sasa ameshakula hela za mume wa mtu ndio anajidai nina kamjamaa nadate nako ndio mapenzi ninayotaka🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi nimekaa hapa nasubiria ushauri wako konki.Mpe ushauri mwenzio atakufa kizembe 😃
You haven't messed a thing up lady.Wapendwa badala mnipe ushauri mnaniongezea magazijuto kweli? Najua i messed up big time and an not proud. Nisaidieni najikwamuaje hapa.
Aya sasa wacha tukushauri.Habari wanajamii forum, ni matumaini yangu kuwa mko salama. Ama la, basi Mungu awafanyie wepesi.
Mrabaha gani tena?Noted
Unapokea Mlahaba
Ngoja kidogo game ya Barcelona iishe manake nimempa ushindi ila kashapigwa kimojaMimi nimekaa hapa nasubiria ushauri wako konki.
Usiniangushe ninja wangu bhana haahhaahah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kamsemee kwa mke wake
Na huyo mwamba akigundua bibie ana mtu lazima ampotezeHatofika mbali,yaan anapigwa kitu kizito
Sasa kwanini arudishe? Kwani jamaa nae hajafaidika?Thread Tele Humu Watu Wanakufa Kisa Mapenzi Nawe Umeanza
Rudisha
Gari Alilokununulia
Nyumba Aliyokujengea
Kodi Anayolipa
Halafu Huyo Unayempenda Mkaanze Upya
Hapo Umenasa Mwenyewe, Huna Namna
Mke akijua si ndio mambo yataenda haraka haraka na mleta mada atakuwa huru na boifrendi mpya?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ili atolewe koromeo vizuri.
Umeona zielinski alivyopiga kombora lileNgoja kidogo game ya Barcelona iishe manake nimempa ushindi ila kashapigwa kimoja
Akili yangu haina akili kwa sasa 😂
Yaan atachagua kukanyaga moto au msumaliNa huyo mwamba akigundua bibie ana mtu lazima ampoteze
Sasa wamsaidie nini wakati ata wao wengi wao wangejengewa nyumba na gari wangekubali kuliwa mbususu na mume ya mutu.Wanawake mko na roho mbaya sana, asilimia kubwa ya comments mpaka sasa zinatoka kwa wakina dada, lakini vile wanvyomkandia mleta mada badala ya kumsaidia wana msuta.
Tena ajiangalie anaweza akaliwa na tigo kabisa kabla ya kudedishwaYaan atachagua kukanyaga moto au msumali
Aya sasa wacha tukushauri.
Ushauri wangu hapa ni kwamba uhai ni muhimu. Ili uokoe uhai wako rudisha gari rudisha nyumba sema hivyo vyote sivitaki.
Kama unaona unataka chill with the big boys wee endelea tuu kumpa jamaa mbususu basi ule life ila sasa usije ukasaba isha kifo cha huyo kijana mwengine. So achana nae kabisaa na umwambie why. Wewe uishie kuwa na huyo mume wa mtu basi cha muhimu sii anakupa huduma bwana...security that money provides.
Out of topic. Inaelekea mrembo una tako na mbususu tamu mpaka jamaa anajenga nyumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
safi mkuuUjengewe nyumba
Gari ununuliwe..
Kazi nzuri utafutiwe ..
Halafu unasema anaku suffocate?
Tukusaidie umuache vipi?
Huyo Kijana umemwambia kuhusu kodi?
Why usirudishe nyumba na gari kwanza uone huyo Kijana mpya atakupenda vipi?
Ukiuliwa wala usimlaumu mtu
Huna akili