blance86
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,138
- 5,632
Ila sijui baadhi ya wanawake mnamatatizo gani,wewe toka anakutongoza unajua kbc ni mume wa mtu ila ukamkubali jamaa akaanza kuwekeza kwako ukaendelea kumpa mapenzi moto moto yaani huwazi kbc huko mbeleni kitatokea nn.Hukujua kwamba utahitaji ndoa au kuzaa?ili ujue hako Kajamaa kanakupenda mpe hizo bili alipe yeye uone atakavyo kimbia mwendo wa duma wakati yeye mwenyewe kafuata mserereko kwako.