The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,228
- 1,447
Hiyo hadithi haiji, ama twende kwa utaratibu wa maswali
Huko nyuma uliwahi kufanya biasharaya ngono?
Huko nyuma uliwahi kufanya biasharaya ngono?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakua sawa Mzee mwenzangusafi tuh japo homahoma za uzee za hapa na pale ila sio mbaya
Asante mkuu nitafanya hivyoNdugu yangu. Muhim kuomba tu MUNGU akusaidie.
Mweleze kua hukua na background nzuri.
Ila usimwlelezee how .. mwambie umebadirika na upo tauar kua nae . Ila usimweleze how .....
Mimi mpenzi wang mpaka sasa nishamwacha. As wanaume hatuwez kubeba sexual background ya wanawake wetu. Kama wao wanavyoweza kubeba zetu.
Ukimrudia Mungu itakuwa na faida ufuta makosa yote ya zamani na sio lazima kusema maisha yako badilika endelea mbele ila kubadilika bila kuwa mtu wa Mungu akujua trust inapoteaHabari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya.
Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu.
Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia ilichangia.
Kwasasa nimekua nina kibarua nafanya nimeshakuwa kwenye mahusiano kadhaa kadhaa lakini tulishindwana, pia watu niliokuwa nao kwenye mahusiano hawakuwa tayari nadhani au walikuwa na watu wao.
Mwaka jana nilibahatika kuanzisha mahusiano na mwanaume mmoja mpaka sasa hivi nipo nae lakini hatuko kwenye mkoa mmoja, sasa jambo ninalohofia ni kwamba ikitokea siku akafatilia background yangu akaambiwa maisha niliyoishi hapo nyuma itakuwaje na mimi sijawahi kumwambia, nahofia akija kujua anaweza kuniacha.
Ninaomba ushauri wenu wadau je ni sahihi mimi kumweleza mpenzi wangu ukweli wa maisha niliyopitia hapo nyuma au ninyamaze tu haina umuhimu??
Kama ilivyo kwa wanawake finance future ya mwanaume ni muhimu kwao,basi na wewe mwanaume hakikisha past yake ni muhimu kwako.usije ukaingia retirement plan za mtu.Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya.
Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu.
Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia ilichangia.
Kwasasa nimekua nina kibarua nafanya nimeshakuwa kwenye mahusiano kadhaa kadhaa lakini tulishindwana, pia watu niliokuwa nao kwenye mahusiano hawakuwa tayari nadhani au walikuwa na watu wao.
Mwaka jana nilibahatika kuanzisha mahusiano na mwanaume mmoja mpaka sasa hivi nipo nae lakini hatuko kwenye mkoa mmoja, sasa jambo ninalohofia ni kwamba ikitokea siku akafatilia background yangu akaambiwa maisha niliyoishi hapo nyuma itakuwaje na mimi sijawahi kumwambia, nahofia akija kujua anaweza kuniacha.
Ninaomba ushauri wenu wadau je ni sahihi mimi kumweleza mpenzi wangu ukweli wa maisha niliyopitia hapo nyuma au ninyamaze tu haina umuhimu??
Ushauri wako mbaya sana.Yaani Wala usiogope,we kula maisha tu,unajua hii dunia kila mtu anachagua anapopamudu.
Huwa nawashauri mabinti wadogo wa chuo waendelee tu kufanya mapenzi kinyume na maumbile,kuvuta mashisha,kunywa mapombe etc
Sababu huko mbele watatokea wanaume wa kuwapigia magoti huku wakiwavisha pete
Huna Cha kujuta dada kua na amani
Ndio umuhimu wa jf,shukuru mungu aliyewapa wazo waja wake walioanzisha jukwaa hili.Habari za wakati huu wana JF, natumai mu wazima wa Afya, binafsi niseme asante kwa wote mlionichangia ushauri kwenye hili swala langu.
Nimeupokea ushauri wenu na nitaufanyia kazi, baada ya kusema hili jambo nahisi nimekuwa mwepesi nafsi yangu ilikuwa nzito nilijihisi mwenye hatia sana, kumbe nilikuwa nakosea wapo watu wana makubwa zaidi ya haya niliyopitia mimi, Asanteni sana kwa ushauri wenu, Mungu awabariki😊🙏
Angalia ya kumwambia mengine nenda nayo kaburini kwakoYeah! Amenipa background yake kiasi
Asante mkuu, nitafanya hivyoAngalia ya kumwambia mengine nenda nayo kaburini kwako
Hakika mkuuNdio umuhimu wa jf,shukuru mungu aliyewapa wazo waja wake walioanzisha jukwaa hili.
Hiyo stori Binti Sayuni03 unaileta au huleti?Hakika mkuu
Tayari nilileta mbonaHiyo stori Binti Sayuni03 unaileta au huleti?
Nitumie link basi nikausomeTayari nilileta mbona