Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

Asante mkuu nitafanya hivyo
 
Ukimrudia Mungu itakuwa na faida ufuta makosa yote ya zamani na sio lazima kusema maisha yako badilika endelea mbele ila kubadilika bila kuwa mtu wa Mungu akujua trust inapotea
 
Kama Kama ilivyo kwa wanawake finance future ya mwanaume ni muhimu kwao,basi na wewe mwanaume hakikisha past yake ni muhimu kwako.usije ukaingia retirement plan za mtu.
 
Habari za wakati huu wana JF, natumai mu wazima wa Afya, binafsi niseme asante kwa wote mlionichangia ushauri kwenye hili swala langu.

Nimeupokea ushauri wenu na nitaufanyia kazi, baada ya kusema hili jambo nahisi nimekuwa mwepesi nafsi yangu ilikuwa nzito nilijihisi mwenye hatia sana, kumbe nilikuwa nakosea wapo watu wana makubwa zaidi ya haya niliyopitia mimi, Asanteni sana kwa ushauri wenu, Mungu awabariki😊🙏
 
Ushauri wako mbaya sana.
 
Ndio umuhimu wa jf,shukuru mungu aliyewapa wazo waja wake walioanzisha jukwaa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…