Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

Ni historia gani mbaya unayo, kwa sasa nadhani kubwa kuliko yote ni kuliwa nyuma, zaodi ya hapo naona mengine yanazungumzika. Na pia unaweza kushangaa jamaa akaelewa tu manake wengi ndio kazi yao...

Mengine yote yanazungumzika, hata kama umejaza coaster.
 
Kwahiyo ni heri nimwambie au ninyamaze?
We nyamaza tu,ikiwezekana zile tabia zako zifanye tu, atakusamehe maisha yataendelea,
Unajua mwanaume anaweza kumuacha binti aliyemtoa bikira akaja kumuoa single mother wa watoto watatu kisha akalalamika maisha magumu,.......huna cha kupoteza dada,wanaume wapo wengi sana
 
Hapana siyo ya kuliwa nyuma nikipata muda nitaeleza
 
Mh! Hapa unanichanganya sasa niendelee wakati nimeshaamua kutulia
 
Mtu yeyote atakaekuhukumu kwa yale uliyoyafanya ukiwa haukuwa na mahusiano nae kipindi hicho basi huyo si mtu sahihi.

As long as unajua kuwa huna mtoto kabla yake yeye, huna video za utupu, hujawahi kuua basi hana sababu ya kujua chochote ya ulichofanya kabla ya kuwa na yeye.

Ila kama ni mambo ambayo unahisi yanaweza kugundulika bila hata ya wewe kumuambia kama mifano niliyotoa hapo juu, basi ni busara kwa mwenzi wako kuyajua toka kwako na si kwa mtu mwingine.

Ikiwa anakupenda kwa dhati, hakika haitokuwa sababu ya kukuacha ama kukuhukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…