Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Umetoa mimba 15?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana nitajaribu kufanya hivyo japo najua ni kama nimechelewa kuna siku aliwahi kuniuliza niliwahi kuwa na wangapi kabla yake nilimdanganya nadhani pale ndiyo ilikuwa nafasi ya kusema ukweliHoneymoon period, yaani wakati bado anakupenda, wakati bado akiona Chongo anaita Kengeza.., hapo hata ukipitisha nini atasema yaliyopita si ndwele tugange yajayo..,
lakini akishacommit anaweza kusema wewe muongo muongo na haujabadilika sababu ungebadilika usingemficha.., Kwahio kusema kabla unampa option (asepe au aendelee nawe); hawezi kusema ulimtega..., ila kama alishacommit na ukateleza wakati upo ndani ya commitment kueleza upuuzi wako hauna faida yoyote zaidi ya pain... (In short elezea yaliyotokea kabla yenu na sio wakati mpo pamoja, hapo utakuwa sio kwamba unataka kumsaidia yeye bali kusafisha consisous yako na kumbebesha zigo yeye)
Watakuhukumu au watakushangaa?!Hapana mkuu, ila ni mambo ambayo kuelezea inakuwa changamoto watu wwatanihukumu sana🥲
😁😁umewaza mbali sana mkuu, hili jina sijui hata lilitoka wapi kipindi najiunga ndiyo lilikuja kwa haraka haraka, nitaomba mods wanibadilishie waniwekee hata binti sayuniYaani Hadi umejipa nickname KIVURUGE! Yaelekea ulikuwa malaya mbwa!
Nadhani watanishangaa sana 😢Watakuhukumu au watakushangaa?!
Ulikuwa unatumia ID gani zamani mkuu!Hapana mkuu, ila ni mambo ambayo kuelezea inakuwa changamoto watu watanihukumu sana🥲
Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya.
Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu.
Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia ilichangia.
Kwasasa nimekua nina kibarua nafanya nimeshakuwa kwenye mahusiano kadhaa kadhaa lakini tulishindwana, pia watu niliokuwa nao kwenye mahusiano hawakuwa tayari nadhani au walikuwa na watu wao.
Mwaka jana nilibahatika kuanzisha mahusiano na mwanaume mmoja mpaka sasa hivi nipo nae lakini hatuko kwenye mkoa mmoja, sasa jambo ninalohofia ni kwamba ikitokea siku akafatilia background yangu akaambiwa maisha niliyoishi hapo nyuma itakuwaje na mimi sijawahi kumwambia, nahofia akija kujua anaweza kuniacha.
Ninaomba ushauri wenu wadau je ni sahihi mimi kumweleza mpenzi wangu ukweli wa maisha niliyopitia hapo nyuma au ninyamaze tu haina umuhimu??
Huenda unaona huyo mwanaume ndiyo turufu ya maisha yako kiasi cha kuogopa kumpoteza? Ushauri wangu ni kuwa usimwone kama jambo la kufa na kupona, utakuja kuumia sana mambo yakigeuka. Mimi nilisema upige story bila kuonyesha kuwa ulipitia maisha hayo. Akija kugundua na kukuacha wala usisikitike sana kwani kila jambo lina wakati wake.Kwasasa ninaishi maisha ya kawaida sifanyi yale mambo tena na wala sina marafiki, niliwaza tu mbeleni kama labda akafatilia akajua, kwa hili jibu lako nikimwambia kuwa niliteleza nilipokuwa mdogo atataka maelezo zaidi🥲
Sawa Binti Sayuni, ...hata Paul àlikuwa mkora Leo twasoma Injili yake....! Namna unavyojibu hizi hoja ,naona umetupa chai yq Iftar!😁😁umewaza mbali sana mkuu, hili jina sijui hata lilitoka wapi kipindi najiunga ndiyo lilikuja kwa haraka haraka, nitaomba mods wanibadilishie waniwekee hata binti sayuni
Oooh! Hapo sawa, nimekupataPale ulipokutana nae, ndio unapoanza ukurasa mpya; mambo ya kuelezana zamani ulikuwa sokwe, hayasaidii.
Asante sana, hakika umenifungua machoHuenda unaona huyo mwanaume ndiyo turufu ya maisha yako kiasi cha kuogopa kumpoteza? Ushauri wangu ni kuwa usimwone kama jambo la kufa na kupona, utakuja kuumia sana mambo yakigeuka. Mimi nilisema upige story bila kuonyesha kuwa ulipitia maisha hayo. Akija kugundua na kukuacha wala usisikitike sana kwani kila jambo lina wakati wake.
Nachelea kusema huyo hana busara (waliosema usimchunguze bata hawakuwa vichaa)..., na unaweza kudhani umepata kumbe umepatikana.., mtu ambaye ana wivu hata kabla / wakati bado hamjatambuana anaweza kuwa a one step before kuchomana visu na kuzikana kwenye septic tank....Asante sana nitajaribu kufanya hivyo japo najua ni kama nimechelewa kuna siku aliwahi kuniuliza niliwahi kuwa na wangapi kabla yake nilimdanganya nadhani pale ndiyo ilikuwa nafasi ya kusema ukweli
Chai ni ipi hapo sasa mkuu?Sawa Binti Sayuni, ...hata Paul àlikuwa mkora Leo twasoma Injili yake....! Namna unavyojibu hizi hoja ,naona umetupa chai yq Iftar!
Hata mimi nilishangaa why aliniuliza hivi, ngoja tuendelee kuchunguzanaNachelea kusema huyo hana busara (waliosema usimchunguze bata hawakuwa vichaa)..., na unaweza kudhani umepata kumbe umepatikana.., mtu ambaye ana wivu hata kabla / wakati bado hamjatambuana anaweza kuwa a one step before kuchomana visu na kuzikana kwenye septic tank....
Kumbuka boyfriend, girlfriend ni bora na raha kuliko marriage...
Being in Love is one Thing; Being Married all Different Animal...
One day you are Married to Your Soulmate then you Watch them turn into Someone Else....; Sometimes you are so in Love with who a Person was, you can't bring yourself to Love who they have become..... Joss Carter POI (Till Death)www.jamiiforums.com
Nitaandika uzi nikipata muda keshotusimulie kwanza background yako
Amen! Asante kwa neno la farajaTazama ya kale yamekwisha pita, Sasa umekuwa kiumbe kipya!Usimwambie Songa mbele.
Ningejua tu swala la mpenzi kwangu ni mission kaliKwa hio angekua ameliwa na wanaume 20 na usingejua,Binti angetulia kwako?
Sawa nikipata muda nitaandikaLete story wewe hakuna anayekujua unakwama wapi mkuu?