Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

Sasa kama unataka watu wakupe tiba na hausemi unaumwa nini nasehemu gani huoni kama utapewa tiba ambayo sio wewe sema naumwa jipu limeniota hapa lina mda Fulani doctor wakucheck wakupe dawa .kila kubwa inakubwa yake kivuruge funguka we live ones
 
Asante daktari ngoja niandae sasa thread ya kufunguka
 
Uliishi maisha Gani ili tunapochangia tuchangia kwa mifano
 
Wewe ni Kivuruge tu.
 
Mi naona umwambie tu mimi wifi yako nlimwambia kwanba kwenye foolish age nilikua machungani natembeza nyama kwa ng'ombe kwahio ex wangu wengi ni Moooo

ikamwathiri kidogo akawa hali mishkaki ila saivi amesahau tunakula nundu na ulimi wa Ng'ompeh
 
Duh! Wewe ulikuwa hatari, ulikuwa huna hisia na binadamu😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…