Competence ya nini sasa??Kiwastani wanawake competence yao ipo chini ukilinganisha na wanaume. Kinachofanyika ni kuwabeba huku tukisema ni usawa wa kijinsia. Feminist mtalazimisha sana kuwepo na imaginary gender equity, bahati mbaya ukija ground uhalisia unawakataa
Competence kwenye kila nyanja kiwastani mwanamke yupo chini ya mwanaume. Unaweza kuniletea nyanja ambayo mwanamke kamu-outperfom mwanaume.Competence ya nini sasa??
Competence ya nesi, mwalimu, psychologist sio sawa na competence ya engineer, computer scientist au accountant. Competence ya mwanajeshi haiwezi kuwa sawa na competence ya mwanasheria.
Sidhani pia hata kama unaelewa "equity" ni nini ndio maana unasema imaginary gender equity, nafikiri ulikuwa unamaanisha gender equality lakini hujui kutofautisha hayo mambo.
Kitu gani wanaume wanawazidi wanawake kwenye uongozi?Competence kwenye kila nyanja kiwastani mwanamke yupo chini ya mwanaume. Unaweza kuniletea nyanja ambayo mwanamke kamu-outperfom mwanaume.
Hii sikuiona, ngoja nizungumzie hapo kwa upande wa wanaume, huku nikilinganisha na wanawake.Kwa hili exactly tutumie comment ya kwanza ya denno amejibu kwa usahihi sidhani kama kuna fact nyingine, itβs purely sababu za kimaumbilie ambazo zinaathiri mambo chungu tele kwa wanawake na kutuweka nyuma ya wanaume functional wise.
Again hili linaangukia katika kile ambacho sisi wa kundi letu ndio tumeziita disparities (tumezipa mzani wa uchache) na kinyume chake ni similarities (sisi wa kundi letu tumezipa uzani wa nyingi)
Ambapo kwa muono wangu hisia au matumizi ya hisia yanatuathiri wanawake katika functionality level mathalani tukiwa na mood swings inaweza kuathiri uwezo wetu wa kupata matokeo chanya/makubwa katika tunachokishughulikia, kutokuact accordingly au kuoveract. Haya ni madhara ya mwanamke kuwa mnyama wa kihisia. Reflection yake tunaiona katika
1. Matumizi huruma kupitiliza
2.Kuamini kwa haraka
3.Kutuexpose kuhusu tunavyopenda na tusivyopenda kwa haraka
4.Kutengeneza bias sababu ya kutumia hisia katika kuangalia mambo
5.Kuonesha hasira, hofu, chuki
6.Msongo wa mawazo
7.Uvivu/kukosa motivation etc
Ikiwa ulikusudia kutumia kipengele cha vipindi vyote vya mabadiliko ya mwanamke (vya umri, mzunguko wa hedhi na pregnancy, ambavyo vinapelekea mood swings kueleza atlarge matumizi ya hisia kwa mwanamke sitakanusha.
Nina NB: ya kuwa moodswings sio gender-based thing. Wanaume wanapata moodswings SIO KWA VIPINDI MAALUMU , na hii inaeleza gape la nani anatawaliwa na hisia kuliko mwenzake.
Wanaume hutawaliwa na hisia kwenye mambo mengi tu, Kibayolojia kiwango cha testosterone hubadilika badilika na hiyo inapelekea athari katika hisia zao hence kuathiri ufanyaji wao wa maamuzi,
tofauti na sisi wao hujustify hisia zao kwa logic nimetumia neno kujustify kwa makusudi (Si tulikubaliana wanaume wanatuzidi maarifa na kutawala mazingira yao?) This is β¦
Kwangu mimi ili uniambie mwanaume hatawaliwi na hisia katika maamuzi ni mpaka uniambie maamuzi yake hayaleti madhara hasi , (irrationality)Back to reality je ni kweli maamuzi yao hayaleti madhara hasi individually na kwa jamii?
Tunaelezeaje, impulsive decisions
Mfano Tukiona mtu amelipukiana na mwenzie wakaanza kupigana, ametumia hisia au hajatumia hisia? Kwangu mimi asingetumia hisia pengine asingefikia kupigana,
Tunaelezeaje tabia ya kiume ya kutake risk zisizo za lazima.
Mfano kwa tabia ya umalaya , mtu anayefanya umalaya anatumia hisia hajatumia hisia? Kwangu mimi mtu mwenye agency ya kufunga zipu ndiye hatumii hisia, uhalisia ukoje?
Tunaelezeaje violence kama namna ya kucontrol/kusurvive, Kwa number wanaume wanaongoza kwa violence, msiniambia mtu ambaye hisia zake ziko stable ninini kinampelekea kufanya violence wakati angechagua amani?
Tunaelezeaje msongo wa mawazo? Simply ni hali ya mtu kushindwa kuzitawala hisia zake/ kuzidiwa na hisia zake⦠Kama msongo wa mawazo sio gender based problem, inaweza mkumba yeyote ninini kinafanya tuone mmoja yuko stable kihisia mwingine hayuko stable kihisia (Core ya mada)
Kwa maoni yangu jambo la kuzingatia ni kuwa: Ni nani anaathirika zaidi na sio huyu haathiriki kabisa.
Wow, makes perfect sense.Sehemu nyingi duniani imeonekana Mapendeleo ya Kazi (βWatu dhidi ya Vituβ) kwa jinsia hizi mbili: Utafiti unaonesha kuwa wanawake wengi wana mwelekeo wa kupenda kazi zinazohusiana na uhusiano wa kibinadamu (People-oriented), wakati wanaume huvutiwa zaidi na mifumo na vitu visivyo na uhai(things oriented- tools, machines, engineering). Hivyo, wanawake wengi wanapochagua masomo, huelekea zaidi katika fani za afya na ustawi wa jamii.
Kwamba ukiangalia viongozi mashuhuri katika historia ya nchi kuanzia wakina Mkwawa, Nyerere, Kambona, Samia n.k unaona kuna uwiano wa kijinsia?Kitu gani wanaume wanawazidi wanawake kwenye uongozi?
Nipe ushahidi wa kuonyesha wanaume ni bora zaidi kuliko wanawake katika uongozi wa nchi/siasa.
Nipe ushahidi wa kuonyesha wanaume ni bora zaidi kuliko wanawake kwenye sekta ya afya.
Nipe ushahidi wa kuonyesha wanaume ni bora zaidi kuliko wanawake kwenye Sheria.
Wanawake wana akili na uelewa sana kuliko wanaume, isipokuwa tu Mungu ameamua Mwanaume kuwa kichwa na kiongozi popote pale na haya mambo yetu sisi wanawake sijui 50/50 ni mpango wa shetani kufarakanisa.Nakuheshimu sana kaka Robert kwa sbb wewe ni mmoja wa watu wachache mliobakia JF wenye kuandika nyuzi zenye kuiheshimisha JF ila nimelog in kwa lengo moja tu,KUPINGA BANDIKO LAKO HILI.
PINGAMIZI ZANGU NI KAMA IFUATAVYO.
1)SIO KWELI KUWA "kihisia na kiakili mwanamke na mwanaume hawana tofauti yoyote ile"
a)KIHISIA...Hivi uko serious au unatania?!
Mwanaume angekua weak and unstable kihisia kama mwanamke hii dunia sijui ingekuaje.Thank 'god' mwanaume yuko strong and stable kihisia.
Mwanamke ana homoni zinazomyumbisha kihisia.Mwanamke anaweza kuvutiwa na wewe leo bila sababu na kesho ukamboa bila sababu.Na hii imedhibitishwa kisayansi.
b)KIAKILI....Mimi ni mwanamke ila nakubaliana na research zote zinazosema mwanaume ana IQ kubwa kuliko mwanamke.Mwanamke ana talanta zake nyingi nzuri tu ambazo mwanaume hana mfano upande wa details na kumbukumbu na uwezo mkubwa wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakaenda sawa ILA kamwe hatakaa amzidi mwanaume akili.
Hata mwanamke asome vipi awe na exposure vipi atazidiwa akili tu na mwanaume aliyeko huko maporini asojua kusoma wala kuandika.Hata dunia ipinduke mwanamke hawezi kumzidi mwanaume akili.Nina mtoto wa kiume ana miaka 14(soon).Daah!Haka ka mtu ninakaheshimu coz kameshanishaurigi vitu vya maana.Kwanza hakaongei sana na hivyo ndiivyo ambavyo wanaume wengi wako halafu kakiongea kanakuacha ukitafakari.
Vile vile ukiniweka mimi na wanawake wenzangu nitawaacha wengi mbali kiakili.Namaanisha mimi ni mwanamke mwenye akili ila wanaume wote waliowahi kuwa wapenzi wangu waliniacha mbali kiakili.Ni watu hawaongei sana ila wakiongea wanaongea vya maana hadi pichu inaloaπ€Έ
Kama wanaume wa Kitibeli wana akili sawa na za dada zao binafsi siwataki.Hawana mvutoπ
2)SIO KWELI KUWA "Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume".
Mtibel leo umeamkia wapi kakake.!!
Wapo wanawake wachache wana tamaa kali ya ngono ila kiuhalisia mwanaume ndie mwenye kiu za ngono za mara kwa mara.
Mwanamke utendaji wake mwingi ikiwa ni pamoja na matendo ya ngono unaendeshwa na hisia ambazo huamuliwa na ubongo wake ukoje kwa wakati huo.Mwanamke akiwa na furaha hana stress atatamani ngono ila ana mastress yake anaweza kukaa hata mwaka bila ngono na ukimgusa ataona kero ila mwanaume anaweza kufukuzwa kazi asubuhi na mchana akadindisha vizuri tu.
Halafu pia kaka Robert nafahamu unafahamu vinavyoandikwa JF vizuri na vibaya vinasomwa na wengi na kuna wanaovibeba kama vilivyo na kuvifanyia kazi hivyo ulichokiandika naweza kusema ni cha hatari.Ni hatari mwanamke kujiona una akili kumzidi mwanaume.Ndoa zitayumba kaka.
Naomba jinsia ya KIUME IHESHIMIWE.
Thank you for your attention to this matterβοΈ
Kukosekana uwiano kwa maana ya wingi sio kigezo cha competence. Uwepo wa madaktari wengi bingwa wa kiume haimaanishi wanaume ni competence zaidi bali inaweza kumaanisha wanaume wengi wamechagua kuwa madaktari au mfumo unawezesha zaidi wanaume kwa madaktari wengi kwa sababu mbalimbali.Kwamba ukiangalia viongozi mashuhuri katika historia ya nchi kuanzia wakina Mkwawa, Nyerere, Kambona, Samia n.k unaona kuna uwiano wa kijinsia?
Kwamba ukiangalia idadi ya madaktari bingwa uko mahospitalini unaona kuna uwiano wa kijinsia?
Kwamba ukiangalia wqanasheria nguli kuanzia wanasheria wakuu wote tuliowahi kuwa nao mpaka majaji, lectures n.k unaona kuna uwiano wa kijinsia?
Halafu kumbuka mimi ndie nilianza kutaka unaiambie nyanja ambayo kiwastani wanawake na wanaume wanalingana
Tanzania hakuna mfumo wowote uliowekwa kuwazuia wanawake ukilinganisha na hiyo mifano uliyoitoa. Infact wanawake ndio wanapewa upendeleo mfano viti maalumu bungeni. Namba yao ni ndogo kwenye kila nyanja kwa sababu ya incompetenceKukosekana uwiano kwa maana ya wingi sio kigezo cha competence. Uwepo wa madaktari wengi bingwa wa kiume haimaanishi wanaume ni competence zaidi bali inaweza kumaanisha wanaume wengi wamechagua kuwa madaktari au mfumo unawezesha zaidi wanaume kwa madaktari wengi kwa sababu mbalimbali.
Makaburu walikuwa wengi katika ngazi zote Africa ya Kusini kwa sababu sera za kibaguzi,
Wachaga walikuwa wengi serikalini wakati tunapata uhuru kwa sababu ya legacy ya mfumo wa ukoloni ulijikita zaidi kuwekeza Kilimanjaro kielimu kuliko katika makabila mengine,
Kenya Wakikuyu wametawala siasa za nchi kwa sababu wakoloni waliwatumia kuwatawala Waafrika wengine.
Israel pamoja na kuwa wachache inawasumbua sana Waarabu kwa sababu ya msaada wa Marekani.
Wanawake ni worst zaidi ndio maana inalazimu wapewe uongozi hao hao wanaume.Pamoja na hayo kuwa kiongozi mashuhuri haimaanishi kuwa competent. Kama Nyerere na Kambona walikuwa competent kwa nini Tanzania leo hii masikini wakati ilipokuwa inapata uhuru ilikuwa level moja na Korea, Vietnam, Malysia na Singapore.
Hiyo dhana ya mwanamke kutokua mtawala ilitokeaje? Tuchukulie ile civilazation ya mwanzo kabisa hakuna sheria, mfumo rasmi wa elimu n.k yaani binadamu anakutana na kila kitu kwa mara ya kwanza kwaiyo anatakiwa kutafsiri mazingira kuvumbua majibu ya changamoto zake. Haya sasa twende kwenye hoja yako kwamba mwanaume na mwanamke wana akili sawa, sasa Ilikuaje patriarchy ikashika hatamu.Mkwawa sio mfano sahihi kwa sababu wanawake kwenye makabila mengi walikuwa hawawezi kuwa watawala.
Sijajua wanawake walikufanya nini mkuu maana kuna vitu unaongea viko wazi kabisa wala hata havihitaji kubishaniwa. Ni ujinga kubishania uwepo wa tamaduni zilizozuia watoto wa kike kwenda shule, kuwa viongozi au kufanya kazi fulani.Tanzania hakuna mfumo wowote uliowekwa kuwazuia wanawake ukilinganisha na hiyo mifano uliyoitoa. Infact wanawake ndio wanapewa upendeleo mfano viti maalumu bungeni. Namba yao ni ndogo kwenye kila nyanja kwa sababu ya incompetence
Wanawake ni worst zaidi ndio maana inalazimu wapewe uongozi hao hao wanaume.
Hiyo dhana ya mwanamke kutokua kiongozi ilitokeaje? Tuchukulie ile civilazation ya mwanzo kabisa hakuna sheria, mfumo rasmi wa elimu n.k yaani binadamu anatakiwa anakutana na kila kitu kwa mara ya kwanza kwaiyo anatakiwa kutafsiri mazingira kuvumbua majibu ya changamoto zake. Haya sasa twende kwenye hoja yako kwamba mwanaume na mwanamke wana akili sawa, sasa Ilikuaje patriarchy ikashika hatamu.
Men wasn't given that place as a gift, they earned it. Wanaume wali-solve matatizo, walivumbua vitu vya kurahisisha maisha mfano moto, walimlinda mwanamke n.k. Ndio maana wakahidho hiyo nafasi ya kuwa main character. Sasa tatizo linatokea badala ya ku-step up ku-suggest suluhisho mtu anaanza analialia hivi hiyo ni jinsia ya kupewa uongozi?
Makaburu wali earn place yao katika South Africa?Men wasn't given that place as a gift, they earned it. Wanaume wali-olve matatizo, walivumbua vitu vya kurahisisha maisha mfan moto n.k. Ndio maana wakahodhi hiyo nafasi ya kuwa main character. Sasa tatizo linatokea badala ya ku-step up ku-suggest suluhisho mtu anaanza kulialia hivi hiyo ni jinsia ya kupewa uongozi?
Kwani kipi hapo kaandika kinaonesha anachukia wanawake mkuu?Mbona yuko sahihi sana?Sijajua wanawake walikufanya nini mkuu maana kuna vitu unaongea viko wazi kabisa wala hata havihitaji kubishaniwa. Ni ujinga kubishania uwepo wa tamaduni zilizozuia watoto wa kike kwenda shule, kuwa viongozi au kufanya kazi fulani.
Yani hujui hata hizo dini zenu tu za Abrahamic haziruhusu wanawake kuwa viongozi?!
Mara umerukia mwanaume aligundua/alivumbua moto bila hata ushahidi wowote.
Unaendelea kuuliza mwanaume kumlinda mwanamke!Sasa mwanaume ame earn vipi kuwa na misuli na Testosterone kuliko mwanamke?! Mwanaume ame earn vipi kutokubeba mimba kumfanya aweze kuwa vitani muda wote na kufanya kazi ngumu tofauti na mwanamke?!
Kama unazungumzia competence zinazohusu misuli, ndio, mwanaume anaweza kuzifanya vizuri zaidi kuliko mwanamke kwa sababu hiyo ni body biology, kama unazungumzia competence zinazohusu akili hakuna ushahidi wowote wa kitafiti kuonyesha mwanaume ni Bora zaidi kuliko mwanaume-HAKUNA UTOFAUTI. Ndio maana nilikuliiza competencies za sekta zipi.
Hii mifano sio sahihi haifiti mkuuMakaburu wali earn place yao katika South Africa?
Wazungu wali earn place yao kumiliki watu weusi kama watumwa?
CCM leo hii wame earn place yao hapa Tanzania?
Wamarekani wame earn place yao Venezuela na Iran?
Israel wame earn place ya Palestine?
Hakuna chochote ambacho wakinifanya, ni hii tu mentality ya kumuuzia mwanamke fantasy ili ajisikie vizuri mimi huwa sina. Na hiyo haiishii kwa mwanamke tu, hata masuala yanayofanywa na wanaume mfano ufisadi, ushoga n.k huwa napingana nayo piaSijajua wanawake walikufanya nini mkuu maana kuna vitu unaongea viko wazi kabisa wala hata havihitaji kubishaniwa.
Tamaduni za kumzuia mtoto wa kike kwenda shule ni za kizamani sana. Hazipo kwa sasa. Wewe kwenye familia yako mlisomeshwa wanaume tu na wanawake wakazuiwa kusoma?Ni ujinga kubishania uwepo wa tamaduni zilizozuia watoto wa kike kwenda shule, kuwa viongozi au kufanya kazi fulani.
Kumlinda sio masculinity tu. Hata kumuongoza mwanamke ni kumlinda pia. ukiachana na kigezo cha kumlinda uko misituni tuje kwenye suala la kumtoa binadamu uko misituni mpaka kwenye modern civilization hapa ni akili ilitumika. Kama mwanamke ana akili sawa na mwanaume aliweza nae kutoa mchango wake hapo. Lakini tunaona mchakato mzima wa kumtoa binadamu uko misituni bado ulifanywa na mwanaumeYani hujui hata hizo dini zenu tu za Abrahamic haziruhusu wanawake kuwa viongozi?!
Mara umerukia mwanaume aligundua/alivumbua moto bila hata ushahidi wowote.
Unaendelea kuuliza mwanaume kumlinda mwanamke!Sasa mwanaume ame earn vipi kuwa na misuli na Testosterone kuliko mwanamke?! Mwanaume ame earn vipi kutokubeba mimba kumfanya aweze kuwa vitani muda wote na kufanya kazi ngumu tofauti na mwanamke?!
Mwanaume yupo juu hata hapo kwenye kutumia akili. Umeamua kubisha tuKama unazungumzia competence zinazohusu misuli, ndio, mwanaume anaweza kuzifanya vizuri zaidi kuliko mwanamke kwa sababu hiyo ni body biology, kama unazungumzia competence zinazohusu akili hakuna ushahidi wowote wa kitafiti kuonyesha mwanaume ni Bora zaidi kuliko mwanaume-HAKUNA UTOFAUTI. Ndio maana nilikuliiza competencies za sekta zipi.
Wame-earn place yao ndio. Kwanini waafrika hawakutoka huku kwenda kuwatawala wazungu? Because our forefathers were weak and idiots. Kwanini hao venezuela wanashindwa kwenda pale white house kumchomoa trump? Kwa sababu US ni superpower. Hiyo status ya superpower ilitengenezwa na akili kubwa. Usije ukaniletea upuuzi wa morality hapa. That is a comfortable zone for weaks and cowards.Makaburu wali earn place yao katika South Africa?
Wazungu wali earn place yao kumiliki watu weusi kama watumwa?
CCM leo hii wame earn place yao hapa Tanzania?
Wamarekani wame earn place yao Venezuela na Iran?
Israel wame earn place ya Palestine?
Kama mwanaume yupo juu kiakili kuliko mwanamke asingesababisha vita kuu zote za Dunia, Crusades, Jihads, genocides, holocausts, civil wars na mauaji mengine yote yaliyosabibisha mabilioni ya watu kuuwawa.Mwanaume yupo juu hata hapo kwenye kutumia akili. Umeamua kubisha tu
Inafiti, mwenzako ameshakubali wali earn place yao.Hii mifano sio sahihi haifiti mkuu