Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Aiseee
 
prida

"ila mwanaume anaweza kufukuzwa kazi asubuhi na mchana akadindisha vizuri tu."

Naagiza ujengewe sanamu huko huko uliko my sister
wanaume sie ni viumbe vya ajabu sana mie nilikuwa naumwa taabani homa kali haishuki hata kwa paracetamol nimechoma diclofenac inj wapi toka asubh kufika mida ya saa 12 jioni kuna demu nilikuwa nimetupia mawe mwezi unaenda ananyima wee akasema anakuja kwangu kulala huwezi kuamini ile homa ilipotea ghafla hadi asubuh ndio ikarud tena homa
 
Mwanamke anawahi kui-master game kwenye suala la mahusiano, kwa sababu anaanza kukutana na rasharasha za jinsia nyingine mapema sana ukikinganisha na mwanaume. Kijana wa kiume mwenye miaka 23 bado ni mtoto mdogo kwa binti wa miaka 19. Lakini ukiongelea akili yaani IQ, kwenye maeneo mengine yote mwanamke amezidiwa na mwanaume. Uhalisia haudanganyi. Unaweza kunitajia nyanja moja ambayo kiwastani wanawake wamewa-outperform wanaume
 
Kumbe.Hope sio za mapenzi coz si yeye anawajua vizuri wa awakeπŸ˜ƒ
Mimi kama mdhambi mstaafu ninaweza sema bila uoga kuwa Mtibeli ana maombolezo makubwa ya kugongewa. Ana mfululizo wa nyuzi nyingi kuongelea wanawake. Niko kwenye mfungo siku ya pili bila kufakamia kitimoto na ndizi 2 (pilipili usiweke) ili kumuombea kijana wetu Mtibeli.
 
Nyanja ya unyang'anyi.

Hujasikia vilio vya mastaa makubwa wakigawana mali walizochuma kwa nguvu zao na mwanamke?
Hiyo inaangukia kwenye mahusiano. Ndio maana nikasema mwanamke anawahi kui-master game mapema hii inamwezesha kuwa miles ahead ya mwanaume ambae ni agemate wake. From the first place place a woman know, marriage is a business, not a love story.
 

asante kwa kushukuru.πŸ™
Mkuu mwanamke anatamaa ya mwili kama ilivyo mwanamke.
Sio kweli mkuu.Kipindi pekee mwanamke anaweza akakaa tu na kujihisi genye automatically tu ni kipindi cha ovulation mbali ya hapo ni hadi ashawishiwe ila mwanaume anaweza akaona kisigino tu mjegeje ukajikoki.Niambie kwanini nyie kila asubuhi mkiamka mjegeje uko loaded?Hiyo hali yenu inafanana na hali gani ya mwanamke?
Naomba nikusqhihishe.SIO DHANA YANGU kuwa wanawake wasisome.Kutosomesha mtoto wa kike lilikua kosa .Akili za kusoma na kuwa na uwezo wa kufanya maajabu ktk fani mbalimbali tunao ila haimaanishi tunamshinda mwanaume akili.

Pia mimi sio wale wajinga wanaoamini eti mwanaume halii.Analia vizuri tu ila ukweli ni kwamba kuna vitu vinamliza mwanamke kirahisi hadi mwanaume anashangaa huyu analia nini.Mimi naweza kulia kirahisi nikiwa nacheki movie ila sijawahi ona njema hata moja ikilizwa na movie.

Naelewa stress zinamuathiri hadi mwanaume kwenye tendo ila sio kwa ukubwa kama mwanamke.

Pia tukisema akili tuachane na uinjinia sijui ukemia.Tu stick tu kwenye general knowledge.Kwa mfano turudi nyuma enzi za zama za mawe hamna shule wala degree.Unadhani ktk mazingira yale ya kula kwa kuwinda,kuchimba nq kuvua mwanamke peke yake angetoboa?ASINGETOBOA.

PIa kama mwanamke atajiona ana akili sawa au zaidi ya mumewe hiyo ndoa haitadumu.

TUMEFIKA HAPA TULIPOFIKA SABABU YA AKILI NA HEKIMA ZA WANAUME.

Asante
 
Kama kweli bwana Robert alisema Me na Me wapo sawa kwa kila kitu, tumsamehe tu maana sio kila mara utimamu unakuwa 100%, pia kihisia huwezi jua jamaa ana issue gani kwa wakati huu.
NI vile tu sijui jinsi yakuleta link ya huo uzi ila kasema eti wanawake na wanaume wako sawa kiakili na kihisia.
Huwa mabandiko yake yananifurahisha japo mengine yanasema ukweli unaoniuma ila kwa hili kanisikitisha.Mimi ni mwanamke ninayefurahia uanamke wangu ila tokea nikomae akili niligundua kitambo jinsia ME imetuzidi akili.
 
Sasa huyo mtibeti sini sawa na wanawake 3 kabisa ...ukimpima hoja zake na logic yake ana tofauti gani na wakina MWAJUMA NDALA NDEFU 😁 NAPENDEKEZA JF WAMPATIE BLUE TIK HARAKA SANA ANA STAHILI BLUE TIK KAMA adriz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…