Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Ukimkuta mwanamke ana akili huwa ana akili kwelikweli.

Kwa vijana: akili ya Binti inachanganya haraka kuliko ya mvulana (nimeangalia hapa home)
Sijajua huko kwa wazee hali ikoje ila mwanamke anaakili sana
 
 
Sio kwamba ukimtamani mwanaume eti unaweza kukaza, ubongo wako uko wired kuanza kuchambua subconsciously vya ziada huyo mwanaume atakavyokupa kumzidi mume au mpenzi wako ukiacha hiyo harafu yake tu, ubongo wako utamchambua kama anaweza kukupa security yako na watoto lolote likitokea, ubongo wako utajaribu kupata uhakika kama atakupenda au atakuwa na hisia na wewe kabisa au kwa kiwango unachotamani na mwisho kabisa utawaza atanionaje mimi mwanamke nikienda kumtongoza au nikianza kumuambia nimempenda.

Mwanaume ubongo wake hauko wired kuwaza chochote akiona tako, paja, nyonyo au sura. Akili yote inawaza kuichapa tu hata kwa kulipa pesa kwanza😁
 
Aisee binti prida kwa hizi points za nguvu zaidi unazoleta kututetea Wanaume nimwambie tu kitu kimoja,

Hapo nyuma Seran ameongoza sana kwa kuandikiwa barua za mapenzi na vijana wa kiume humu jukwaani mara nyingi sasa unaefuatia ni wewe hapo,

umekonga sana nyoyo za wanaume wengi humu jukwaani. Kudos
 
Before ya huo uchambuzi wote si ni tamaa ndio inaanza so sio kwamba hatutamani ila tupo smart kuwazidi

Hatukubari tamaa zituongoze ndio maana tunaweza kuzizibiti
Mwanaume ubongo wake hauko wired kuwaza chochote akiona tako, paja, nyonyo au sura. Akili yote inawaza kuichapa tu hata kwa kulipa pesa kwanza😁
Hivi hapa hamjioni kama mna weakness ya jogoo la kuku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata bila bible sayansi tu inaonesha umbo(hadi ubongo) la mwanaume limejengwa kwa ajili ya utafutaji na umbo la mwanamke limejengwa kwa ajili ya kuzaa.Haiwezekani kiumbe kilichodizainiwa kuwa na uwezo wa kutafuta chakula,malazi na usalamavwake yeye pamoja na mke na watoto kipewe akili sawa na za kiumbe kilichodizainiwa kwa ajili ya kuzaa,kulishwa,kutafutiwa malazi na usalama wake.

Mwanaume yupo juu ya mwanamke kiakili kutokana na asili yake.

Ile amri Mungu aliyompa meanaume ya utakula kwa jasho ikimfanya mwanaume awe na nyongeza ya maarifa kujua ni kwa namna ipi atakabiliana na mazingira yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…