Nimekwazwa na bandiko la Robert Mtibeli linalosema eti 'Wanaume na Wanawake wako sawa kiakili', - Siyo kweli

Tusisahau demographic na normal distribution curve ya kila community, binadamu na statistical distribution. Zote zinaunda normal distribution curve yani kila population ina few high na few low then majority wanaangukia katikati lakini kuna wachache sana wanakua outliers ambao naona members wengi ndio wanawatolea mifano, the few na outliers. Lakini mtoa mada kaeleza vizuri kwa kutazama statistical distribution ya intelligence among men and women
 
Tena bora hata mtibeli alikuwa na hoja.
 
Gentleman,
binafsi nimependa tu mtindo wa constructive na deconstructive criticism zako, ulivyoziweka dhidi ya mtoa hoja unaemjibu. Natamani ingekua hivyo hata katika medani ya siasa za Tanzania.

Otherwise sina maoni 🐒
 
Facts.. Ila ni nyenzo za kibailogia zaidi. We both have Masculine and feminine qualities ila kila gender ineongezewa more of what it needs
 
So kipengele tunacho sisi
Haya mkuu👍
Ndio hivyo, yani vile mnavyojizungusha mkitongozwa ndio asili yenu hiyo ili ubongo upate muda wa kutosha kuchakata taarifa na kufanya maamuzi, sio tu kwamba eti ni ujanja au kukaza kumtesa mwanaume.

Utafiti Rahisi;
Muambie mwanamke mmoja mzuri(zile type za wanaume wa wabongo) a approach wanaume 10 siku moja kwa muda tofauti awaambie amewependa na angejisikia alale nao siku hiyo. Majibu utakayopata ni wanaume 8 watakuwa tayari kulala naye siku hiyo hiyo, wengine wawili waliobakia wanaweza kumuambia kuna majukumu yamewabana watafute siku nyingine ndani ya wiki hiyo hiyo, na Hilo kwao wote litakuwa ni tukio la kujivuna sana watakalohadithia kwa wanaume wenzao, ni story nyingine ya kula tunda kimasihara.

Kwa wanawake tafuta mwanaume handsome (type zenu pendwa) mwambie awa approach wanawake 10 wa hadhi nzuri tu wasio na mpenzi au mume siku moja huku akionyesha kutaka kulala nao siku hiyo hiyo. Majibu yatakuwa ni wanne watamuona mwendawazimu, malaya na sexual pervert, wanne wengine watamuona hivyo na zaidi kama hata mnyanyasaji wa ngono anayetakiwa kuripotiwa police haraka, mwanamke mmoja aliye mdadisi sana ndio anaweza kumkubalia huku mmoja aliyebaki akimuambia atafikiria atampa majibu.
 
Wewe urudi kwenye ile mijadala ya saikoloji ya mahusiano ,

Mimi humu JF nimeshajiwekea, kama ni kuchallenge mawazo ya mtu nitatoa comment moja au mbili. Kama ni mjadala ninafahamu nitajadili na nani, nini na kwenye topic zipi na kwanini.

Kama ni mjadala sina uelewa nao nitakaa nitasoma mawazo ya watu nijifunze.

Kuna sababu za kwanini sijajibu reply zako kule kwenye ule uzi, kila replay umetoa boko.

Sasa wewe nimekuweka mahali, kule kwenye ushauri wa kiasaikojia nimeona huwa unaeleza vizuri, attachment style na healing. Nikikukuta kule ntakujibu.

Nilipobold hapo; You can’t manipulate me into arguing with you kwa hili, Sio hatuna majibu, it’s not worthy the argument lol. (Kichwa cha habari kilikuwa wazi, maelezo ya mtoa uzi yako wazi, comments zake na wengine ziko wazi)

Kuacha wanaume wajibizane in the name of manipulation……? I don’t even know what’s suppose to imply, and how to you manage to make this about us again?
 
Haya binti kiziwi Njoo upate mrejesho hukuu,
Mnapenda majibizano kuliko majibu sahihi.

I am sorry, this is nothing…. unless kama kinakupa mental orgasm.

Mleta mada ameandika whole alot of nothing.

Watu wazima tukae tunajadili kuwa mwanamke hata asome vipi, atazidiwa akili na mwanaume… ? Are you people serious?
 
 
Wanaume kama wewe mpo wachache mnoo narudia wachache♥️
 
Gentleman,
binafsi nimependa tu mtindo wa constructive na deconstructive criticism zako, ulivyoziweka dhidi ya mtoa hoja unaemjibu. Natamani ingekua hivyo hata katika medani ya siasa za Tanzania.

Otherwise sina maoni 🐒
Asante kwa yote.

Samahani kwa usumbufu ila naomba kuuliza.Wewe ndo umemficha mdogo wangu Lamomy?
Kuna kipindi nilikua naona unamrubuni kuwa utafungua kanisa umhonge sadaka sijui.
Kama yuko kwako mwambie nyumbani tunamuhitaji.
Nb:Nina aleji na siasa.
 
 
Leveled🙌😂
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…