Nimekwenda DAWASCO Kimara, majibu nimepewa hadi nimemkumbuka mwenda zake

Siku zote ukifika kwenye ofisi za umma usijishushe na kujifanya mnyoooonge...

Wewe ungelifika pale na kutaka kuonana na meneja wa kituo, najua wangeanza longolongo kwamba hayupo n.k

Then ungewajibu tu basi ajiandae kupokea simu ya waziri, then unasepa zako...

Short and clear...
 
Kuna vibwengo wengi sana hawawezi kukuelewa.
 
Walikujibu nn ?
Walikujibu nini
 
Jamani, Mimi naomba kuuliza, aulizae sio mjinga, hivi hizo system huwa ni zipi ambazo inatakiwa ziwepo au zijengwe, hivi toka nchi hii tangu imepata uhuru hutawahiga kuwa na mifumo ambayo inaongoza nchi?

mimi najua hiyo mifumo au system ipo, kama haipo basi tungekuwa tunaishi kama wanyama tu, tatizo la nchi hii ni hiyo mifumo au system kama inafanya kweli kazi jinsi inavyotakiwa, na Magufuli ndio alitaka au alifanya hiyo mifumo ifanye kazi,

ila watanzania mifumo ikifanya kazi wanachukia wanaita ni ubabe na udikteta, wanataka mifumo yao ambayo wala haipo.

ukienda Marekani ambapo hiyo mifumo inafanya kazi utakaa na kuisifia tena utapongeza jinsi wenzetu wanavyopeleka mambo yao, lakini yale yale yanayofanyika kule yakiletwa hapa, basi kila mtu atalalamika?!!!

naomba mnipe jibu ni mifumo gani au hizo institution mnazitaka ambazo hapa kwetu hazipo.

ni hayo tu
 
Hilo nalo neno asee,kama kamwili chako kadogodogo lazma uambulie mipasho
Haha na hata kama una mwili mdogo unatakiwa uwe na roho kubwa. Unamtamkia maneno mazito hadi anakupa huduma kwa heshima.

Mimi ofisi ya majunior officer kama hiyo naingia casual tu ila ili nipate concentration yake na nimfundishe uoga nikifika hapo huwa naanza kwa kujitambulisha kwa majina yote mawili, alafu namuuliza mtoa huduma jila lake akinitajia naliandika kwenye note book akiwa anaona alafu ndiyo naendelea kumwelezea shida iliyonileta kwenye ofisi yao.

Sasa hapo akili kichwani kwake, afanye kazi au afanye blanda.
 
Kweli yule shetani mtu, muuaji na jambazi la kupora mali za watu anaweza kuwa miyoni mwa Watanzania! Labda mwehu kama wewe!
 
Miaka sita hawaongezewa mishahara hata wakikujibu vibaya sawa tu.
 
Hee! Hili nalo vip? Ebu kwenda kalale huko usiekuwa na jinsia...unazani wote tulikuwa wababaishaji kama ww hadi ukatwangwaa ba jpm kunako..tuondolee ujinga hapa..jpm atakumbukwa vzaz na vizaz..
Labda shetani atamkumbuka lakini binadamu hawezi kumkumbuka!
 
Jiwe asilani hawezi kupumzika kwa Amani
 
Hili la nyodo kwenye ofisi za umma awamu hii linakwenda kuwa baya hata kuliko wakati wa Kikwete. Huyu mama by nature hana haiba wala tabia ya ukali.
Kamuulize Sabaya na Chalamila ndio wanajua endapo ana hasira au hana
 
Kweli yule shetani mtu, muuaji na jambazi la kupora mali za watu anaweza kuwa miyoni mwa Watanzania! Labda mwehu kama wewe!
Tunawajua Bwashee ndio maana nyinyi ndio mnaongoza kwa chuki na umimi na kubebana bebana na ufisadi na ukabila,endelea kuimba mwamba wenu mzee wa konyagi aliyeshughulikiwa na Sabaya hadi akahama nchi awavushe huku nyinyi mkimpa michango tuu huku ruzuku akiitafuna yeye na ukoo wake,Magufuli yuko ndani ya damu na mioyo ya watanzania milele na milele nyinyi pigeni kelele tu ila musahau kwa nchi mliyoijenga kwa watanzania na ukabila wenu basi uraisi mtausikia kwa wengine tuu.
 
Mmeanza kummiss hata miezi sita haijaisha?na bado
 
Siku mfanyakazi wa Umma akinijibu vibaya mjiandae kuja kunitoa mahabusu. Washenzi sana tena sana. Kuna dada mmoja alinijibu huku anakula chakula nilichompa najua hatokaa anisahau kbs maishani mwake.
Mimi ningetemea mate chakula nyambafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…