Umeshawapelekea chai kule walikopelekwa tangu jana? Au ndio watapelekewa na ndugu zao ambao hata uwezo huo hawana?Usiwe mpumbavu, hata kama, kitendo cha Maalim kuwaunganisha tu kinatosha, kila mtu afanye kipande, vitani hatuendi wote, tusioenda tunatoa chakula kwa askari.
Nchi sasa inaendeshwa kwa njia haramu za kishetani hakuna utawala wa katiba na Sheria, NECCCM Tumeccm na Polisiccm wapo busy kutengeneza matokeo ya kumpa kaburu Mkoloni mweusi, hakuna uchaguzi mkuu bali NECCCM ndiyo wamewachagulia watanzania Rais kwa shinikizo lakeNyerere ndie muasisi wa katiba hii ya kidikteta ambayo imempa power dictator kudhuru na kuumiza kuharibu nchi.
Katiba mpya ndo jibu la kizazi cha sasa.na sio kuongozwa na katiba iliyokufa
Huu ujinga wenu ndiyo imepelekea kukosa kura mpaka mnatengeneza kura zenu kwa kuwatumia Polisiccm na NECCCM TumeccmUmeshawapelekea chai kule walikopelekwa tangu jana? Au ndio watapelekewa na ndugu zao ambao hata uwezo huo hawana?
Pole sana.... kama na Nyerere unamwita majina hayo..... mmmmh Mungu akutendee stahili yakoTanzania soon we are going to celebrate landmark referendum victory after voters threw out the constitution left by ccm 1977 regime of dictator Nyerere
Unalosema ni kinyume cha uhalisiaNchi sasa inaendeshwa kwa njia haramu za kishetani hakuna utawala wa katiba na Sheria, NECCCM Tumeccm na Polisiccm wapo busy kutengeneza matokeo ya kumpa kaburu Mkoloni mweusi, hakuna uchaguzi mkuu bali NECCCM ndiyo wamewachagulia watanzania Rais kwa shinikizo lake
PumbafuYatakusaidia nini?
Kwa buku 7 unapandaje mwewe.? Labda manyaunyau kama amewezesha.Umepanda airtanzania au bus mzeee
Akwilina alivyopigwa risasi pale bonde la mkwajuni alitumwa na maalim Seif sio?!Maalim seif kahamasisha vijana kuwapiga mawe police halafu yeye na wanawe wanajifungia ndani wakitii sheria bila shurti.
Vijana amkeni kataeni kutumika
Ungeanza na kuiombea itende haki , haki ikiwepo aman wala sio ya kuiomba itakuja yenyewe automaticallyMimi ninachoiombea Tanzania yangu ni Amani... hayo mengine wanasiasa mmalizane wenyewe.... msituletee shida ndani ya Tanzania yetu
Akwilina alipigwa risasi sababu ya ukwiukaji wa sheria, Watanzania na serikali iliumizwa sana lakini wapinzani walitumia kifo chake kama ngazi kama wanayofanya sasa kule ZanzibarAkwilina alivyopigwa risasi pale bonde la mkwajuni alitumwa na maalim Seif sio?!
Mama mzima lakini una akili za kipumbavu
Mimi ninachoiombea Tanzania yangu ni Amani... hayo mengine wanasiasa mmalizane wenyewe.... msituletee shida ndani ya Tanzania yetu
Hata ufanyeje JPM amewashika pabaya Wezi wa Rasilimali za Watanzania nyieTanzania soon we are going to celebrate landmark referendum victory after voters threw out the constitution left by ccm 1977 regime of dictator Nyerere
As a Tanzanian, 5Again JPM kiboko ya wezi wa Rasilimali za WatanzaniaAmani ni tunda la haki. Pasipo na haki hapawezi kuwa na amani. Ninamuomba Mungu ahekimishe watawala ili watende haki au walau haki ionekane kutendeka!
Serikali iliyopo madarakani ifikishie mawazo mbadala kwa njia halali, ila sio kwa kejeli.....ukikejeli hutasikilizwaHuu ujinga wenu ndiyo imepelekea kukosa kura mpaka mnatengeneza kura zenu kwa kuwatumia Polisiccm na NECCCM Tumeccm
Karibu sana. Huyo Amsterdam atashuhudia watu walivyoshikamana
Ujinga na upumbavu wako hauna gharama wala madhara.
Una biashara gani ya mamilion ww shonza zaidi ya kudanga?
Yani unasafiri kilomita 1000 kwenda kudanga????