Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

Usiwe mpumbavu, hata kama, kitendo cha Maalim kuwaunganisha tu kinatosha, kila mtu afanye kipande, vitani hatuendi wote, tusioenda tunatoa chakula kwa askari.
Umeshawapelekea chai kule walikopelekwa tangu jana? Au ndio watapelekewa na ndugu zao ambao hata uwezo huo hawana?
 
Nyerere ndie muasisi wa katiba hii ya kidikteta ambayo imempa power dictator kudhuru na kuumiza kuharibu nchi.
Katiba mpya ndo jibu la kizazi cha sasa.na sio kuongozwa na katiba iliyokufa
Nchi sasa inaendeshwa kwa njia haramu za kishetani hakuna utawala wa katiba na Sheria, NECCCM Tumeccm na Polisiccm wapo busy kutengeneza matokeo ya kumpa kaburu Mkoloni mweusi, hakuna uchaguzi mkuu bali NECCCM ndiyo wamewachagulia watanzania Rais kwa shinikizo lake
 
Umeshawapelekea chai kule walikopelekwa tangu jana? Au ndio watapelekewa na ndugu zao ambao hata uwezo huo hawana?
Huu ujinga wenu ndiyo imepelekea kukosa kura mpaka mnatengeneza kura zenu kwa kuwatumia Polisiccm na NECCCM Tumeccm
 
Tanzania soon we are going to celebrate landmark referendum victory after voters threw out the constitution left by ccm 1977 regime of dictator Nyerere
Pole sana.... kama na Nyerere unamwita majina hayo..... mmmmh Mungu akutendee stahili yako
 
Nchi sasa inaendeshwa kwa njia haramu za kishetani hakuna utawala wa katiba na Sheria, NECCCM Tumeccm na Polisiccm wapo busy kutengeneza matokeo ya kumpa kaburu Mkoloni mweusi, hakuna uchaguzi mkuu bali NECCCM ndiyo wamewachagulia watanzania Rais kwa shinikizo lake
Unalosema ni kinyume cha uhalisia
 
Huu ujinga wenu ndiyo imepelekea kukosa kura mpaka mnatengeneza kura zenu kwa kuwatumia Polisiccm na NECCCM Tumeccm
Twende tukapige kura minyoo hakuna kura zitakazopigwa nje ya kituo na kushuhudiwa na mawakala
 
Maalim seif kahamasisha vijana kuwapiga mawe police halafu yeye na wanawe wanajifungia ndani wakitii sheria bila shurti.
Vijana amkeni kataeni kutumika
Akwilina alivyopigwa risasi pale bonde la mkwajuni alitumwa na maalim Seif sio?!
Mama mzima lakini una akili za kipumbavu
 
Mimi ninachoiombea Tanzania yangu ni Amani... hayo mengine wanasiasa mmalizane wenyewe.... msituletee shida ndani ya Tanzania yetu
Ungeanza na kuiombea itende haki , haki ikiwepo aman wala sio ya kuiomba itakuja yenyewe automatically
 
Akwilina alivyopigwa risasi pale bonde la mkwajuni alitumwa na maalim Seif sio?!
Mama mzima lakini una akili za kipumbavu
Akwilina alipigwa risasi sababu ya ukwiukaji wa sheria, Watanzania na serikali iliumizwa sana lakini wapinzani walitumia kifo chake kama ngazi kama wanayofanya sasa kule Zanzibar

Usisahau Leo tumeambiwa tupige kura na kurudi nyumbani kuepuka majanga.
 
Mimi ninachoiombea Tanzania yangu ni Amani... hayo mengine wanasiasa mmalizane wenyewe.... msituletee shida ndani ya Tanzania yetu

Amani ni tunda la haki. Pasipo na haki hapawezi kuwa na amani. Ninamuomba Mungu ahekimishe watawala ili watende haki au walau haki ionekane kutendeka!
 
As a Tanzanian, 5Again JPM kiboko ya wezi wa Rasilimali za Watanzania
 
Huu ujinga wenu ndiyo imepelekea kukosa kura mpaka mnatengeneza kura zenu kwa kuwatumia Polisiccm na NECCCM Tumeccm
Serikali iliyopo madarakani ifikishie mawazo mbadala kwa njia halali, ila sio kwa kejeli.....ukikejeli hutasikilizwa
 
Back
Top Bottom