mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Umeshawapelekea chai kule walikopelekwa tangu jana? Au ndio watapelekewa na ndugu zao ambao hata uwezo huo hawana?Usiwe mpumbavu, hata kama, kitendo cha Maalim kuwaunganisha tu kinatosha, kila mtu afanye kipande, vitani hatuendi wote, tusioenda tunatoa chakula kwa askari.