Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Yeye ni lazima ajihusishe kwasababu ameolewa huko, tayari ni wa huko na hata kuzikwa atazikwa kwa Mumewe.ila nae asipojihusisha na zako si sawa???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ni lazima ajihusishe kwasababu ameolewa huko, tayari ni wa huko na hata kuzikwa atazikwa kwa Mumewe.ila nae asipojihusisha na zako si sawa???
Kuolewa ni nusu utumwaYeye ni lazima ajihusishe kwasababu ameolewa huko, tayari ni wa huko na hata kuzikwa atazikwa kwa Mumewe.
Thibitisha kauli yako!!Kuolewa ni nusu utumwa
HahahahNaaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.
Je, nitakuwa nimekosea?
Unataka kuolewa then uendelee na Uhuru uliokuwa nao ukiwa hm kwenu?Kuolewa ni nusu utumwa
HapanaUnataka kuolewa then uendelee na Uhuru uliokuwa nao ukiwa hm kwenu?
Hii ndiyo formula ninayo tumia ukwenu kwangu! Japo mashemeji wengine wanaona Kama unajitenga nao sana,lakini mwisho wa siku kila Mtu na Maisha yake!!!Mkuu vizuri usipende ukweni wakuzoee kama kuna matatizo kama msiba,mchango wa harusi utasolve tu ila mke wako atakupa ripoti kinachojiri ahsante ni ivyo tu.
Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.
Je, nitakuwa nimekosea?
kwa taarifa yako hilo uliloungwa ni la tatu lipo la kwanza na lapili haumo!
kwa taarifa yako hilo uliloungwa ni la tatu.Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.
Je, nitakuwa nimekosea?
Lose a Battle to Win a War...., Sometimes unaweza ukakubali vitu vidogo vidogo ila baadae ukikataa mengine isionekane ni mtu wa kukataa; Ingawa Binadamu ukiwapa a Yard they Take a Mile....Umefanya maamuzi sahihi kabisa! Hongera sana mkuu, na usikubali kuwekwa humoooo
Upo sawa kabisa mkuu... Ndugu wa mkeo sio rafiki zako wala ndugu zako.Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.
Je, nitakuwa nimekosea?
Nashukuru kwa kuniunga mkonoUpo sawa kabisa mkuu... Ndugu wa mkeo sio rafiki zako wala ndugu zako.
Kesho na keshokutwa wakitambulishwa mtu mwingine yoyote wanakusahau ww kama upepo
Sijakuelewa nimepigwa kivipi. Nilishaleft long time mzeekwa taarifa yako hilo uliloungwa ni la tatu.
la kwanza ndugu wa familia
la pili ni ndugu wa karibu na wake wa kaka zetu
la tatu ndugu wa karibu ,wake za kaka zetu na waume zetu na katika hili ni kwa ajiri ya financial issues(financial support)
hivyo umepigwa!
Hahahah
Malizia mahari. Walikuunganisha humo kudai salio.
🤣 🤣 🤣 ungepigwaSijakuelewa nimepigwa kivipi. Nilishaleft long time mzee
Eeeh mkuu ndio inavyotakiwaHii ndiyo formula ninayo tumia ukwenu kwangu! Japo mashemeji wengine wanaona Kama unajitenga nao sana,lakini mwisho wa siku kila Mtu na Maisha yake!!!
MmmhSidaiwi