Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

Hata mimi huwa sipendi, issue za ndani za ukoo wa kikeni hazikuhusu sasa umo unafanya nn!? Pili mle kuna mama wakubwa na wadogo wa mke wako, kuna baba wakubwa na wadogo wa mke wako ambao kiujumla ni wakwe zako, je siku simu imejibonyeza mfukoni ikachukua clip ya amber ruuuuutiiiii ikapost kwenye hilo group baada ya kuja kujua utaweka wapi uso wako dhidi ya ukoo mzima wa ukweni.


Nashauri hata wengine kama mko magroup ya kwao mwanamke ni upimbi na ukosefu wa adabu mleft
Unaongea pumba
 
Mkuu nyie ndo mmeolewa mnakula na kulala ukweni, lazima uone point yangu ni pumba.

Keep enjoying matunzo ya ukweni na akili yako kubebwa ukweni
Achana nae huyo. Ukitaka heshima ukweni usijenge mazoea halafu matatizo yao madogo madogo sijui harusi ,rambirambi nini unamaliza tuu.
 
Uko sahihi,kuna jamaa yangu mimi hakauki ukweni,kisa kuna vimisosi vidogo vidogo vya hapa na pale,siku moja nikasikia wanasema huyu nae kwa kula,nikajua hapa hakuna kupendwa,sana sana wanakuzoea mwishowe hukawii kusikia baba tunaomba utusaidie katununulie pumba za nguruwe zimeisha...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbona balaa
 
Umefanya la maana, unaweza ukajisahau ukatuma picha au clip itakayokudhalilisha sana.

Usitake kuzoeleka sana Ukweni.
 
Back
Top Bottom