Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kumejaa kasumba ya michango isoisha na majority ignorance
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Setting zipi mkuu nami nizuie hii kitu
Akili yako imeishia kwa wakwe zako! Nani ana shida na wakwe zako hadi unatuletea uchuro humu!Tuma namba nikutumie hela ya kula naona una njaa.
Mkuu hata uko kuna uswahili flani...! Kwa ufupi binadamu tuna tabia fulani za kisaikolojia tunafananaHivi wenzetu dunia ya kwanza wanayo mambo haya?ma group group ya WhatsApp?
Huna akili mbumbumbu mmoja tu hunisumbuwi lala na njaa huko ulipo.Akili yako imeishia kwa wakwe zako! Nani ana shida na wakwe zako hadi unatuletea uchuro humu!
Wewe ni wa kunifundisha mimi kufanya socialization? Huna akili na haujitambuwi tafadhali kama unajiona wewe ni mjinga kaa kimya siyo lazima unipe ushauri nadhani utakua umenielewa.Umeoa ila una utoto mwingi bado nyie ni familia moja learn kufanya socialization na watu and be humble it won't cost you anything
Huna akili mbumbumbu mmoja tu hunisumbuwi lala na njaa huko ulipo.
Basi sawa naomba ukae na ujuha wako tusisumbuane. Punguani waheed!Wewe pimbi kabisa wa kuleta humu upuou wa familia za wakwe zako. Nadhani wewe ni mshamba kiasi kila mtu anakushangaa humu. Pimbi wewe!
Kwahiyo nyie ndio mlikua wala keki ya taifa awamu ya 5? Poleni sana kutesa kwa zamu.Grupu letu la wassap alileft Magu tunammiss sana.
Kweli kwahiyo humu ndani we ndo unapanga nani alete nini ili tujadili? Hii ni open forum aise kama hujafurahishwa na mtoa hoja pita kimya otherwise umia kimya kimya we lofa nini. Eboo?Wewe pimbi kabisa wa kuleta humu upuou wa familia za wakwe zako. Nadhani wewe ni mshamba kiasi kila mtu anakushangaa humu. Pimbi wewe!
Pimbi mwingine karibu, maana akili zenu wote zinafanana Hakuna hata haja ya kupoteza muda kujibizana na kibaka kama wewe.We fala kweli kwahiyo humu ndani we ndo unapanga nani alete nini ili tujadili? Hii ni open forum aise kama hujafurahishwa na mtoa hoja pita kimya otherwise umia kimya kimya we lofa nini. Eboo?
Fala mmoja huna lolote kwendraaa!Pimbi mwingine karibu, maana akili zenu wote zinafanana Hakuna hata haja ya kupoteza muda kujibizana na kibaka kama wewe.
Mkuu nani anamshangaa? Huoni kama 95% wanampongeza? Kama unae mshangaa ni ww na hamna anae kulazimisha ku reply chochote.Wewe pimbi kabisa wa kuleta humu upuou wa familia za wakwe zako. Nadhani wewe ni mshamba kiasi kila mtu anakushangaa humu. Pimbi wewe!
Kuna majitu Hadi yanachangia mada mule. Ajabu hiiHata mimi huwa sipendi, issue za ndani za ukoo wa kikeni hazikuhusu sasa umo unafanya nn!? Pili mle kuna mama wakubwa na wadogo wa mke wako, kuna baba wakubwa na wadogo wa mke wako ambao kiujumla ni wakwe zako, je siku simu imejibonyeza mfukoni ikachukua clip ya amber ruuuuutiiiii ikapost kwenye hilo group baada ya kuja kujua utaweka wapi uso wako dhidi ya ukoo mzima wa ukweni.
Nashauri hata wengine kama mko magroup ya kwao mwanamke ni upimbi na ukosefu wa adabu mleft
Kwan huyo mwanamke yuko familia ipi? Au n mali ya familia ipo? Ukishaolewa huko uliko olewa ndio kwenuila nae asipojihusisha na zako si sawa???
Sio busara kuwa katika group la upande wa wazazi wa mke wako. Umefanya vizuri kujiondoaNaaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.
Je, nitakuwa nimekosea?