Nimeleft group la WhatsApp la Familia ya mke wangu

Ndio maana nikasema jamaa yuko sawa, kujiacha acha azoeleke ukweni sio sawa
 
Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.

Je, nitakuwa nimekosea?
Shida ya haya magroup ya kifamilia yana unafiki mwingi sana,wanakuunga huko,ila wakitaka kukuteta wana ka group kao kengine ka kukusema wewe bila ya kujua ,halafu wakija huku kwingine wanajifanya kukuchekea kama vile wako na wewe...
 
Mimi hata group la familia yetu tu huwa sikai maana usnitch huwa sitaki. Mimi group langu ni moja tu la Liverpool FC mambo ya soka tu.

Wakiniweka group sijui la shule najitoa sijui la familia najitoa sitakagi uduanzi mimi. Sasa sembuse la ukweni.
Vip katika hilo grup la livapool upo pamoja na yule livapool VPN anae tuzuia kuoa?
 
[emoji28] huo ndo ubabe wenu wa kiume....

It wasn’t me na uso wa mbuzi.....

Imeisha hiyooo....

Wanaume, zamani nilikuwa napata tabu siku hizi waalaaah...
Ushazeeka mkuu tulia zako[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nivizur Wana takiwa wasikujue Sanaa mwishoe wataanza kuleta madharau
 
Naaomba kuuliza wadau katika kutafakari sababu za familia ya mke wangu kuniunganisha katika group la familia yao sikuona mantiki na hivi leo nimeaamua kuondoka.

Je, nitakuwa nimekosea?
Next time fanya settings za wasap mtu hawez kuku add mpaka uruhusu..toka nifanye hiv..nna amani
 
Shida ya haya magroup ya kifamilia yana unafiki mwingi sana,wanakuunga huko,ila wakitaka kukuteta wana ka group kao kengine ka kukusema wewe bila ya kujua ,halafu wakija huku kwingine wanajifanya kukuchekea kama vile wako na wewe...
Haa haa haa kwahiyo kanaundwa kagroup kengine kwa umbeya pembeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wenzetu mifumo Yao ya maisha nitofauti Sana na Sisi ata kwenye simu zao za mkononi hawana namba za simu nyingii kama uku kwetu simu ina majina mengii
Halafu majina mengi na hayana faida, weka status unashida kama utaona hata wakukupa pole ya buku kimyaa kabisa, siku nikiamuaga na delete mizigo yote.
 
Exactly mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…