Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Usikafinye tu maana ww dakika mbili mbele[emoji23]Huyu mtoto Leo kapata mana, km Lola na Wema yaani leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikafinye tu maana ww dakika mbili mbele[emoji23]Huyu mtoto Leo kapata mana, km Lola na Wema yaani leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siwezi hata kwa bahati mbaya 🥰🥰🥰Usikafinye tu maana ww dakika mbili mbele[emoji23]
Leo kazi ipo[emoji23]Siwezi hata kwa bahati mbaya [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Hivi unajua nishampa jina 🤣🤣Leo kazi ipo[emoji23]
Mto#ge viziri wake zenuuu......ona mpk wanawatafutia wasaidizi,mi mme wng ananifanya vzr kiasi kwamba hata nikitongozwa sizingatiiiiNdugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa
Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.
Jana jioni mida ya saa moja nikiwa kazini kwangu kuna dada ninayemfahamu kwa sura tunaishi mtaa mmoja alikuja kazini kwangu, hapo kazini kulikua na watu kadhaa wakipata huduma,
Baada ya watu wote kuondoka alinifata huyo dada akanieleza kwa uchungu mkubwa kuwa "mke wako anatembea na mme wangu mwambie mkeo aachane na mme wangu" maneno hayo aliyatamka kwa kuyarudiarudia na mpaka machozi yakamtoka
Kuna watu wakatokea pale kupata huduma yule dada akaondoka sikupata nafasi ya kuzungumza nae kiundani ili kujua mke wangu alitembea na mme wake lini, na nimeshindwa kuchukua hatua yoyote mpaka sasa nashindwa nianzie wapi, inavyoonekana mpaka dada huyu kulia kwa uchungu mbele yangu itakuwa kweli mke wangu anatoka kweli na mmewake
Ndugu zangu hili suala ni zito kweli kwangu nianzie wapi, majibu sina. Nimeamua kulileta hapa mimi kijana mwenzenu mnipe mawazo nifanye nini nimetuliza akili yangu sijakurupuka ila hatua ya kwanza nimeona nililete hapa.
Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
Wewe tena hakuna kupoteza muda[emoji23][emoji23]Hivi unajua nishampa jina [emoji1787][emoji1787]
# 11 I.emenigharim sanaMAMBO YA MSINGI YA KUYAFAHAMU KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA:
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.
2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa.
3.Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.
4. Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.
5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.
6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi.
7. Aina tatu za wanaume wakuepukwa:
(a) Walevi
(b) Wazinzi
(c) Wagomvi.
Aina tano za wanawake wa kuepukwa;
(a) Walevi
(b) Wazinzi
(c) Wachawi
(d) Wagomvi
(e) Wasio tii
8 .Kuolewa na Mchekeshaji hakutakufanya uwe na Ndoa yenye furaha.
9. Maneno matatu yanayojenga amani katika Ndoa:
(a) Nakupenda.
(b) Samahani.
(c) Asante.
10. Kupiga punyeto kwa mwanaume na kujichua kwa mwanamke ni kuharibu mwili wako mwenyewe.
11. Kuoana kabla ya kuwa marafiki ni kama gari bila mafuta, hamuwezi kufika popote.
12. Mafanikio ya Ndoa siku zote ni pembe tatu:
13. Furaha ya kudumu maishani hutegemea na chaguo lako la mwenzi katika Ndoa.
14. Usioe/kuolewa na pesa au mali. Oa/Olewa na mtu. Pesa/Mali hufilisika lakini utu hudumu milele.
15. Uchumba uliovunjika ni bora zaidi kuliko Ndoa isiyo na amani wala furaha.
16. Usiweke kipaumbele chako kwa muonekano mzuri wa mwanamke. Hakuna mwanamke mbaya, bali anahitaji kupendezeshwa.
17. Mapenzi si upofu. Upofu ni kuoa ama kuolewa na mwanamume/mwanamke kwa sababu tu anakidhi haja zako kingono.
18. Ukiwa rafiki mwema, utawavutia marafiki wema. Vivyo hivyo kwa marafiki wabaya.
19. Asili ya mikono inayojali ni moyo unaojali.
20. Iepuke Ndoa mbaya kabla haijaanza.
MUNGU AKUBARIKI ILI UPATE CHAGUO SAHIHI.
Fasta 🤣🤣🤣Wewe tena hakuna kupoteza muda[emoji23][emoji23]
Hako ni kahubiri a.k.a kapasta flani hivi angalia tu macho yake[emoji23][emoji23]Fasta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaitwa Kantri, nasubiri atakavyoanza kuchana michano ya kulia usiku nipoteane na maziwa ya kumnyonyesha sina
Umeambiwa mke wako anatembea na mume wa mtu. Aliyekuambia ndiye mtu wa kukupa ushahidi kama anao. Yawezekana ana picha, msg au kitu chochote kama ushahidi. Sasa unapokuja kuuliza humu jf wakati mtu sahihi wa kukuambia ukweli unaye mtaani kwako sijui ukweli upi unaotaka
Huyu km wewe mtulivu ndiomana namuita Kantri 😂😂😂Hako ni kahubiri a.k.a kapasta flani hivi angalia tu macho yake[emoji23][emoji23]
Kwa akili hizi kuna siku utaua, mwisho wa siku utajiona fala mwenyewe.Baada ya kupata taarifa hizo ulitakiwa kifika nyumbani na kutembeza kichapo kwa wife wako. Akishakula kerbu kama tano hivi, ndipo unakuja kumpa nafasi aeleze kuhusu huyo mchepuko wake.
Yes anachukua huu utulivu wangu, pia atakua na akili sana[emoji23][emoji23]Huyu km wewe mtulivu ndiomana namuita Kantri [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyerere aliwahi kusema kiongoz wa umma hatakiwi hata kutuhumiwa. Same applies kwa mkeKwa akili hizi kuna siku utaua, mwisho wa siku utajiona fala mwenyewe.
Anatakiwa amtafute mleta taarifa amhoji aelezwe kila kitu ndipo achukue hatua
Hii naenda kuchekea nje kabisa barabarani 🤣🤣🤣Yes anachukua huu utulivu wangu, pia atakua na akili sana[emoji23][emoji23]
Mm mpole sana hadi kuna muda huwa naulizwa, hivi unakasirika kweli[emoji23]Hii naenda kuchekea nje kabisa barabarani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hili sikubaliani na wewe, nakata rufaa 🤣Mm mpole sana hadi kuna muda huwa naulizwa, hivi unakasirika kweli[emoji23]
Hako katafata mengi mazuri kutoka kwangu
Mm ni role model wa watoto wengi, waache waige mazuri yangu[emoji23]Kwa hili sikubaliani na wewe, nakata rufaa [emoji1787]