Nimeletewa Kesi: Mke wangu anatoka kimapenzi na Mume wa Mtu

Nimeletewa Kesi: Mke wangu anatoka kimapenzi na Mume wa Mtu

Ushimen nataka hiyo black range
 
Attachments

  • 20230926_185451.jpg
    20230926_185451.jpg
    110.3 KB · Views: 6
Kwakweli ni shida
Kunarafikiyngu Jana wameachana na mkewe mke kasomba vitu vyote vya ndani ndoa Ina miak 2 na ni ya kanisani nimemuonea huruma sana
Kataa Ndoa Wana hoja wakat mwingine
😂😂😂 Ndoa ndoa ndoa
 
mnunulie mke wako simu mpya halafu uihack hiyo simu kabla ya kumpa yaani fanya uweze kupata taarifa zote anazowasiliana, ikiwa huwezi hiyo app unaweza kuuliza wataalamu wa IT au sehemu utakayonunua simu au wale watengenezaji wa simu watakufanyia namna utaweza kum spy huyo mwanamke na utajua kama ni kweli au sio. ukishamnunulia simu mpya ile ya kwake ya zamani ichukue wewe, hapo utapata unachokitaka kwa sababu text na calls zote atakazofanya wife wako utazipata.

ila angalia usije kununua gunia mbili za mkaa, kama unaona huwezi vumilia kuona text za mahaba wanazotumiana au unaona hutaweza kumwacha mkeo basi njia hii sio nzuri.

Njia nyingine ni kujifanya umesafiri halafu urudi nyumbani by surprise tena iwe usiku hapo lazima utajua tu..

Njia nyingine mtumie bodaboda amfatilie kila anapokwenda na akupe taarifa..ni vema huyo boda asiwe wa mtaa huo mnaoishi..

pole sana mkuu maisha yana mengi ila usimhukumu bila kuchunguza
Mwanamke achungwi bro ukimshindwa fukuza mambo ya kuumia sababu ya mapenzi yashapitwa na muda hayo

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
ninachoona hapa mkuu hujamkubali huyo mleta kesi inaonekana hana mvuto ndio mana hujajua ufanye nini....
 
Wewe kyuti katembea na mume wa mtu, na mwenye mume ndiye anayekwambia. Utakuwa sawa?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kyuti lamomy nachukua superglue naunganisba hizo two parts[emoji23][emoji23]
 
Mtafute huyo dada mwambie njia nzuri ya kumkomoa mkeo sio kukwambia ww bali kukusanya ushahidi.ili ww umsaifie kumuumiza adui yake ambae ni mkeo...japo ukweli bro huna akili ndo maana anachepuka kirahisi .kakuona hivo
 
Kataa ndoa wanazidi kujikusanyia points tu😀😀
 
Ndugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa

Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.

Jana jioni mida ya saa moja nikiwa kazini kwangu kuna dada ninayemfahamu kwa sura tunaishi mtaa mmoja alikuja kazini kwangu, hapo kazini kulikua na watu kadhaa wakipata huduma,

Baada ya watu wote kuondoka alinifata huyo dada akanieleza kwa uchungu mkubwa kuwa "mke wako anatembea na mme wangu mwambie mkeo aachane na mme wangu" maneno hayo aliyatamka kwa kuyarudiarudia na mpaka machozi yakamtoka

Kuna watu wakatokea pale kupata huduma yule dada akaondoka sikupata nafasi ya kuzungumza nae kiundani ili kujua mke wangu alitembea na mme wake lini, na nimeshindwa kuchukua hatua yoyote mpaka sasa nashindwa nianzie wapi, inavyoonekana mpaka dada huyu kulia kwa uchungu mbele yangu itakuwa kweli mke wangu anatoka kweli na mmewake

Ndugu zangu hili suala ni zito kweli kwangu nianzie wapi, majibu sina. Nimeamua kulileta hapa mimi kijana mwenzenu mnipe mawazo nifanye nini nimetuliza akili yangu sijakurupuka ila hatua ya kwanza nimeona nililete hapa.

Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
Na wewe toka naye huyo aliyeleta mashtaka, ngoma droo!
 
Kwakweli ni shida
Kunarafikiyngu Jana wameachana na mkewe mke kasomba vitu vyote vya ndani ndoa Ina miak 2 na ni ya kanisani nimemuonea huruma sana
Kataa Ndoa Wana hoja wakat mwingine
Mwanaume ndiye rafiki yako?
Ni halali hiyo ndoa kufa
 
Ndugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa

Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.

Jana jioni mida ya saa moja nikiwa kazini kwangu kuna dada ninayemfahamu kwa sura tunaishi mtaa mmoja alikuja kazini kwangu, hapo kazini kulikua na watu kadhaa wakipata huduma,

Baada ya watu wote kuondoka alinifata huyo dada akanieleza kwa uchungu mkubwa kuwa "mke wako anatembea na mme wangu mwambie mkeo aachane na mme wangu" maneno hayo aliyatamka kwa kuyarudiarudia na mpaka machozi yakamtoka

Kuna watu wakatokea pale kupata huduma yule dada akaondoka sikupata nafasi ya kuzungumza nae kiundani ili kujua mke wangu alitembea na mme wake lini, na nimeshindwa kuchukua hatua yoyote mpaka sasa nashindwa nianzie wapi, inavyoonekana mpaka dada huyu kulia kwa uchungu mbele yangu itakuwa kweli mke wangu anatoka kweli na mmewake

Ndugu zangu hili suala ni zito kweli kwangu nianzie wapi, majibu sina. Nimeamua kulileta hapa mimi kijana mwenzenu mnipe mawazo nifanye nini nimetuliza akili yangu sijakurupuka ila hatua ya kwanza nimeona nililete hapa.

Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
Mtafute huyo dada muongee kwa kina na ujue maamuzi yake ikibidi wewe uendelee nae na mke aendelee na na yule mwenzako. Usijitese buda
 
Back
Top Bottom