nurdidy
Member
- Jan 1, 2014
- 42
- 44
Kwa upande wangu siwezi kukushauri kulipa kisasi kwa kutembea na mke wa mtu hiyo haiusaidii chochote zidi ya kukubadilisha kutoka kua mtu wa maana na kua mtu wa ovyo.Hakuna baya linamwongezea mwandamu kitu cha thamani,though wengi wanachukulia poa lakini ukweli ni kwamba ubaya ni mbegu,kwahyo unapofanya ubaya jua umepanda mbegu na kesho utavuna bila kujali ulikua unalipa kisasi au la.
Dunia tulionayo ni ngumu unahitaji zaidi maarifa na subira usiruhusu ubaya wa watu wengi wengine ukakubadili nawewe kua mtu mbaya au wa hovyo.Utu wako mwenyewe na heshima ni muhimu kuliko chochote.
Kuna mtu pale amekuuliza mahusiano yako na mkeo yakoje? Inawezekena kuna vidalili ambavyo vilishakuwepo vya kudhoofisha mahusiano yenu lakin ukapuuza au ukaamini utaviweka sawa na badala yake ikawa tofauti.
Nafikiri kutoka kwenye historia ya mahusiano yenu hapo ndio kuna maamuzi sahihi,ingawa kwangu mimi kwa tu kufikia hatua ya kutembea tena na mume wa mtu sioni kama kuna cha kumsamehe,ndio utaweza lakin hautkuana mani tena kitu ambacho ni hatari zaidi.