Nimeletewa Kesi: Mke wangu anatoka kimapenzi na Mume wa Mtu

Ndugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa

Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.

Jana jioni mida ya saa moja nikiwa kazini kwangu kuna dada ninayemfahamu kwa sura tunaishi mtaa mmoja alikuja kazini kwangu, hapo kazini kulikua na watu kadhaa wakipata huduma,

Baada ya watu wote kuondoka alinifata huyo dada akanieleza kwa uchungu mkubwa kuwa "mke wako anatembea na mme wangu mwambie mkeo aachane na mme wangu" maneno hayo aliyatamka kwa kuyarudiarudia na mpaka machozi yakamtoka

Kuna watu wakatokea pale kupata huduma yule dada akaondoka sikupata nafasi ya kuzungumza nae kiundani ili kujua mke wangu alitembea na mme wake lini, na nimeshindwa kuchukua hatua yoyote mpaka sasa nashindwa nianzie wapi, inavyoonekana mpaka dada huyu kulia kwa uchungu mbele yangu itakuwa kweli mke wangu anatoka kweli na mmewake

Ndugu zangu hili suala ni zito kweli kwangu nianzie wapi, majibu sina. Nimeamua kulileta hapa mimi kijana mwenzenu mnipe mawazo nifanye nini nimetuliza akili yangu sijakurupuka ila hatua ya kwanza nimeona nililete hapa.

Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
Ndugu subiri ukikua utaoa, haiwezekani mkeo achepuke wewe usijue. Hii inaonyesha akili yako bado haijatosha 'kuishi na mwanamke kwa akili'
 
Mbane huyo mke wa mtu aliyekupa taarifa akupe evidence zote, baada ya hapo kula mbususu hiyo kufidia mkeo kuliwa, baada ya hapo piga chini hiyo mbuzi.... Kataa ndoa😂😂
 
Mie niliolewa kwenye familia ipo powa sasa nikaanza kupata familia hadi now na watoto mapacha 4 na mmoja ila sijajuaga kuwa babe wangu anacheat na shemeji yake inapata miaka 15 hivi nikajua nikaka nikawaza nikasema ngoja niende nikapime afya nikaenda kupima afya .

Kweli mie mzima so maisha ya kaanza kuwa ovyo just imagine unanyonyesha na unalewa ilifikia mama kaja kuchukua wajukuu wake na wanaohitaji maziwa wanapewa ya kopo , ndio nikaja kupata suluhisho kuwa kama wao wanajikita kwenye kulana.

Basi mie nitajikita katika kucheza huu mchezo maana utaachaje ndoa yako na umeshatumiwa hivyoo haiwezekani.

Nikamwita shemeji nikajidai naumwa akaja tukaenda hospitalini tukapima wote nilimwomba . Basi
Bwana miezi mitatu kupita nikaanza kujiona kichwa sio kizuri .

Nikamwita shemeji tena time hii nimevaa khanga moja tu na ni home na hakuna mtu nikamkaribisha ile tu kaona naenda kuvaa maana nilitoka bafuni kwa ajili yake akajua tu akafunga mlango tukaanza yetu basi hadi na leo .

Yupo na mwanaume wangu mie nipo na wake hata simkumbuki wangu maana zawadi na mapenzi ninayopewa na huyo mzee ananichanganya halafu siku hizi simfichi namwambia ukweli nenda kwa mama fulani .

Kale raha niache namie ndio nilivyo hivyo hivyo sikupi utamu ila kwa yule mzee mie ndio nimechanganyikiwa kule . Nakumzalia hapana ila akitaka it's fine . Kwani wao wanamtoto pamoja mmoja tena mkubwa tu shenzi sana so siogopi kitu wamwage ugali mie mboga hadi watoto wanajua hawasemi mama mkubwa wanasema mke mkubwa wa babaa.
 
Mie niliolewa kwenye familia ipo powa sasa nikaanza kupata familia hadi now na watoto mapacha 4 na mmoja ila sijajuaga kuwa babe wangu anacheat na shemeji yake inapata miaka 15 hivi nikajua nikaaa nikawaza nikasema ngoja niende nikapime afya nikaenda kupima afya .

Kweli mie mzima so maisha ya kaanza kuwa ovyo just imagine unanyonyesha na unalewa ilifikia mama kaja kuchukua wajukuu waka na wanaohitaji maziwa wanapewa ya kopo , ndio nikaja kupata soluhisho kuwa kama wao wanajikita kwenye kulana.

Basi mie nitajikita katika kucheza huu mchezo maana utaachaje ndoa yako na umeshatumiwa hivyoo haiwezekani.

Nikamwita shemeji nikajidai naumwa akaja tukaenda hospitali tukapima bwana tu nilimwomba . Basi n
Bwana miezi mitatu kupita nikaanza kujiona kichwa sio kizuri .

Nikamwita shemeji tena time hii nimevaa khanga moja tu na hakuna mtu nikamkaribisha ile tu kaona naenda kuvaa akafunga mlango tukaanza yetu basi hadi leo .

Yupo na mwanaume wangu mie nipo na wake hata simkumbuki wangu maana zawadi na mapenzi ninayopewa na huyo mzee ananichanganya halafu siku hzi simfichi namwambia ukweli nenda kwa mama fulani .

Kale raha niache namie ndio nimechanganyikiwa kule . Nakumzalia hapana ila akitaka it's fine . Kwani wao wanamtoto pamoja washenzi sana so siogopi
Umeandika harakaharaka au kwa hisia sana katoto
 
Ndugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa

Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.

Jana jioni mida ya saa moja nikiwa kazini kwangu kuna dada ninayemfahamu kwa sura tunaishi mtaa mmoja alikuja kazini kwangu, hapo kazini kulikua na watu kadhaa wakipata huduma,

Baada ya watu wote kuondoka alinifata huyo dada akanieleza kwa uchungu mkubwa kuwa "mke wako anatembea na mme wangu mwambie mkeo aachane na mme wangu" maneno hayo aliyatamka kwa kuyarudiarudia na mpaka machozi yakamtoka

Kuna watu wakatokea pale kupata huduma yule dada akaondoka sikupata nafasi ya kuzungumza nae kiundani ili kujua mke wangu alitembea na mme wake lini, na nimeshindwa kuchukua hatua yoyote mpaka sasa nashindwa nianzie wapi, inavyoonekana mpaka dada huyu kulia kwa uchungu mbele yangu itakuwa kweli mke wangu anatoka kweli na mmewake

Ndugu zangu hili suala ni zito kweli kwangu nianzie wapi, majibu sina. Nimeamua kulileta hapa mimi kijana mwenzenu mnipe mawazo nifanye nini nimetuliza akili yangu sijakurupuka ila hatua ya kwanza nimeona nililete hapa.

Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
Ilibidi uombe ushahidi, hiyo ndio ingekua hatua ya kuanzia.
 
Sasa mmoja wa waume zenu akipata wivu ana uhakika wa kubaki na wawili...

Mmoja hapo anaweza akqchomolewa... ila kwa nyie wanawake mtabak na kinyongo cha mzigo wa kulea watoto,

Mnacheza kwenye sumu hatari sana.
 
Pole sana kiongozi!!
 
Attachments

  • Screenshot_20230926_142351_Facebook.jpg
    Screenshot_20230926_142351_Facebook.jpg
    29.1 KB · Views: 2
Sasa mmoja wa waume zenu akipata wivu ana uhakika wa kubaki na wawili...

Mmoja hapo anaweza akqchomolewa... ila kwa nyie wanawake mtabak na kinyongo cha mzigo wa kulea watoto,

Mnacheza kwenye sumu hatari sana.
Sana ni hatari mie nimeshajitoa ufahamu ila kuna siku nitasema tu ukweli yule mama aende kwa mume wangu na mie niende kwa mume wake ili tusifiche tena lolote ila ukweli ni huu na mpenda huyu mtu wangu sana ila waliharibu wao sana.
 
Mbona haukuja sasa...🤭
 
Ndugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa

Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.

Jana jioni mida ya saa moja nikiwa kazini kwangu kuna dada ninayemfahamu kwa sura tunaishi mtaa mmoja alikuja kazini kwangu, hapo kazini kulikua na watu kadhaa wakipata huduma,

Baada ya watu wote kuondoka alinifata huyo dada akanieleza kwa uchungu mkubwa kuwa "mke wako anatembea na mme wangu mwambie mkeo aachane na mme wangu" maneno hayo aliyatamka kwa kuyarudiarudia na mpaka machozi yakamtoka

Kuna watu wakatokea pale kupata huduma yule dada akaondoka sikupata nafasi ya kuzungumza nae kiundani ili kujua mke wangu alitembea na mme wake lini, na nimeshindwa kuchukua hatua yoyote mpaka sasa nashindwa nianzie wapi, inavyoonekana mpaka dada huyu kulia kwa uchungu mbele yangu itakuwa kweli mke wangu anatoka kweli na mmewake

Ndugu zangu hili suala ni zito kweli kwangu nianzie wapi, majibu sina. Nimeamua kulileta hapa mimi kijana mwenzenu mnipe mawazo nifanye nini nimetuliza akili yangu sijakurupuka ila hatua ya kwanza nimeona nililete hapa.

Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
Anza kwa kumla huyo mke wa jamaa, baada ya hapo ukiona mtamu mnaendana badilishaneni wake.
 
Usitusumbue, wavulana hawapaswi kuoa, unamshindwaje mwanamke kwa kiwango hiki?
 
chunguza kwa makini huenda na huyo binti haitakii heli ndoa yako kulia haimanishi ni kweli kwani watu wanaweza kuigiza kulia na machozi yakatoka ukiona kuna ukweli fanya maamuzi magumu yatakayo mfanya atoke kwako bila hata kufukuzwa,unaweza kususa mbunye yake mazima ila huduma zote mpe kama kawaida isipokuwa ya ndoa tu,akisha ona hivyo ata amua kusepa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom