Nimeletewa Kesi: Mke wangu anatoka kimapenzi na Mume wa Mtu

Mto#ge viziri wake zenuuu......ona mpk wanawatafutia wasaidizi,mi mme wng ananifanya vzr kiasi kwamba hata nikitongozwa sizingatiiii
 
# 11 I.emenigharim sana
 
Fasta [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaitwa Kantri, nasubiri atakavyoanza kuchana michano ya kulia usiku nipoteane na maziwa ya kumnyonyesha sina
Hako ni kahubiri a.k.a kapasta flani hivi angalia tu macho yake[emoji23][emoji23]
 

Tena anatakiwa ampe ushahidi wakati anamtafuna, Alaaaa
 
Baada ya kupata taarifa hizo ulitakiwa kifika nyumbani na kutembeza kichapo kwa wife wako. Akishakula kerbu kama tano hivi, ndipo unakuja kumpa nafasi aeleze kuhusu huyo mchepuko wake.
Kwa akili hizi kuna siku utaua, mwisho wa siku utajiona fala mwenyewe.

Anatakiwa amtafute mleta taarifa amhoji aelezwe kila kitu ndipo achukue hatua
 
Kwa akili hizi kuna siku utaua, mwisho wa siku utajiona fala mwenyewe.

Anatakiwa amtafute mleta taarifa amhoji aelezwe kila kitu ndipo achukue hatua
Nyerere aliwahi kusema kiongoz wa umma hatakiwi hata kutuhumiwa. Same applies kwa mke
 
Hii naenda kuchekea nje kabisa barabarani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm mpole sana hadi kuna muda huwa naulizwa, hivi unakasirika kweli[emoji23]

Hako katafata mengi mazuri kutoka kwangu
 
Kuna watu humu hawajawahi kuoa but wanavyochangia as if wana PhD kwenye ndoa.
Maaumivu ya kutombewa na ujue kuwa u atombewa ni zaidi ya kuchomwa kisu cha shingo.kwa taarifa hiyo tu sidhani kama jamaa atakuwa na hisia za kumlala mke wake.
 
Ulimuachaje huyo mrembo akaondoka kinyonge namna hiyo 🤔🤔 ilibidi uchukue namba kwa ajili ya ninyi watendwa kufarijiana, vipi wewe 🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…