Nimeletewa Kesi: Mke wangu anatoka kimapenzi na Mume wa Mtu

Ametembea kwenda naye wapi? Stendi? Sokoni au? Mkeo kutembea na mwanaume kuna ubaya gani?
Basi mtafutieni njia yake kama treni.
Ni hayo tu.
 
Nashauri funga safari wewe na mkeo wako mfike kwa yule jamaa asbh Sana kbla hajaenda kazini ,

Iko HV Kama Kweli ushaidi upo Basi muandae mmkeo bila kujuwa kuwa unaenda kwa mchepuko wake asbh alfu kaganye kikao na huyo jamaa mbele ya mke wake alfu ukisha maliza muachie yule jamaa mkeo abaki nae hapo kwake
 
Na siyo kumla tuu, apige hadi tigo huyo mke wa jamaa aannze mdogo mdogo kama hajaanza maana siku hizi wake kibao tuu wa watu wanatoa tigo, kisha ahakikishe mke wake anajua hapo machungu kwishney na lazima mke wake ataenda mwambia jamaa yake tena kuwa mke wako anatombwa na mme wangu. Kwenye maisha ya maisha ya bet tunasema BOTH TEAM TO SCORE. Jamaa anakunywa na maji huku akimuangalia mtombaji wa mke wake. Haya maisha ukiwa mnyonge ni usenge sana hakuna kukaa kinyonge hapa
 
Mkuu pole sana,mke anauma.Sasa mambo yasiwe mengi fanyeni tu cross multiplication ikiwa tu huyo dada afya yake ipo sawa na wewe unamuelewa.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mtaalamu, tuliza akili usifanye maamuzi kwa mihemko chunguza taratibu utakuja jua tu siku moja au pata ushahidi kama ni kweli mkeo anachepuka au hachepuki na uyo jamaa
 
Hongera Kwa ushauriii huuu usiokuwa na chembe ya unafiki umengalia angle zoeetee
 
Huyu anatania mdada huyo ndo wakumpa ushahidi afu akamuacha kaja kutuuliza sisi .
JIBU
Endelea na mkeo hata mm namsapoti mshikaji kwa akili hizi utombwewe
 
Mwambie muwakomoe kwa kutembea pamoja na nyinyi
 
Jamvi la wageni.
 
Mwanamke akimpenda mwanaume anaanza na hadithi za uwongo, anashimdwa kusema tu "nakupenda ".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…