Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na siyo kumla tuu, apige hadi tigo huyo mke wa jamaa aannze mdogo mdogo kama hajaanza maana siku hizi wake kibao tuu wa watu wanatoa tigo, kisha ahakikishe mke wake anajua hapo machungu kwishney na lazima mke wake ataenda mwambia jamaa yake tena kuwa mke wako anatombwa na mme wangu. Kwenye maisha ya maisha ya bet tunasema BOTH TEAM TO SCORE. Jamaa anakunywa na maji huku akimuangalia mtombaji wa mke wake. Haya maisha ukiwa mnyonge ni usenge sana hakuna kukaa kinyonge hapaMkuu kwanza pole sana kwa hilo
Mi nakushauri kama unamfahamu huyo mdada mtafute mzungumze ili akupe details zote. Baada ya kuupata ukweli kama ni kweli mkeo anatoa mbususu kwa huyo jamaa. Ili kupunguza machungu na wewe mle huyo mdada na baada ya hapo piga biti kali mkeo. Maana ukiacha kumla utakuwa mnyonge daima.
Wakati mwingine kulialia hakusaidii sana yaani ngoma ikija hivi ruka nayo kama ilivyokuja.
Mkuu pole sana,mke anauma.Sasa mambo yasiwe mengi fanyeni tu cross multiplication ikiwa tu huyo dada afya yake ipo sawa na wewe unamuelewa.Ndugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa
Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.
Jana jioni mida ya saa moja nikiwa kazini kwangu kuna dada ninayemfahamu kwa sura tunaishi mtaa mmoja alikuja kazini kwangu, hapo kazini kulikua na watu kadhaa wakipata huduma,
Baada ya watu wote kuondoka alinifata huyo dada akanieleza kwa uchungu mkubwa kuwa "mke wako anatembea na mme wangu mwambie mkeo aachane na mme wangu" maneno hayo aliyatamka kwa kuyarudiarudia na mpaka machozi yakamtoka
Kuna watu wakatokea pale kupata huduma yule dada akaondoka sikupata nafasi ya kuzungumza nae kiundani ili kujua mke wangu alitembea na mme wake lini, na nimeshindwa kuchukua hatua yoyote mpaka sasa nashindwa nianzie wapi, inavyoonekana mpaka dada huyu kulia kwa uchungu mbele yangu itakuwa kweli mke wangu anatoka kweli na mmewake
Ndugu zangu hili suala ni zito kweli kwangu nianzie wapi, majibu sina. Nimeamua kulileta hapa mimi kijana mwenzenu mnipe mawazo nifanye nini nimetuliza akili yangu sijakurupuka ila hatua ya kwanza nimeona nililete hapa.
Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
Wewe umevuta bange sio bureAmetembea kwenda naye wapi? Stendi? Sokoni au? Mkeo kutembea na mwanaume kuna ubaya gani?
Basi mtafutieni njia yake kama treni.
Ni hayo tu.
Ya wapi?Wewe umevuta bange sio bure
Hongera Kwa ushauriii huuu usiokuwa na chembe ya unafiki umengalia angle zoeeteePole sana mkuu kwa maumivu unayopitia kipindi hiki kigumu. Hongera na endelea kutuliza akili. Usipaniki,acha akili itawale maumivu na hisia ulizokuwa nazo kwa wakati huu. Inawezekana kabisa mkeo sio muaminifu na wewe Kwa sababu upo bize au unakuwa kazini anapata muda kufanya huo uasherati. Na kama hauna tabia ya kujichanganya na watu inakuwa ngumu kupata taarifa za uzinzi wa mkeo. Mtafute kwa siri huyo dada ukae nae sehemu umdadisi kiundani akupe mkanda mzima. Na pengine kama Kuna ushahidi basi akupe Ili ukusaidie kufanya maamuzi yaliyo sahihi.
Though if the case is true.. breaking up is necessary ,vise versa is also is a decision. Considering the options and reasons available. Ni ngumu kuishi na mwanamke mzinzi.
Pole sana mkuu
Huyu anatania mdada huyo ndo wakumpa ushahidi afu akamuacha kaja kutuuliza sisi .1..kuongea huku akilia kwa uchungu haimaanishi kuwa maneno yake ni kweli kwa asilimia 100,..hivyo hupaswi kuyaamini bila ushahidi....
2..uhusiano wako na mkeo ukoje mpaka sasa?..anzia hapo
3.. ikiwa ni kweli, je unazani ni nini chanzo na nini utafanya?.. swali hili lakupasa ujiulize na ujijibu wewe mwenyewe ukiwa na akili timamu bila stress wala presha ili upate jibu sahihi...
4.. kumbuka NGUVU SIO TIBA BALI HEKIMA NI DAWA....
Mwambie muwakomoe kwa kutembea pamoja na nyinyiNdugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa
Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.
Jana jioni mida ya saa moja nikiwa kazini kwangu kuna dada ninayemfahamu kwa sura tunaishi mtaa mmoja alikuja kazini kwangu, hapo kazini kulikua na watu kadhaa wakipata huduma,
Baada ya watu wote kuondoka alinifata huyo dada akanieleza kwa uchungu mkubwa kuwa "mke wako anatembea na mme wangu mwambie mkeo aachane na mme wangu" maneno hayo aliyatamka kwa kuyarudiarudia na mpaka machozi yakamtoka
Kuna watu wakatokea pale kupata huduma yule dada akaondoka sikupata nafasi ya kuzungumza nae kiundani ili kujua mke wangu alitembea na mme wake lini, na nimeshindwa kuchukua hatua yoyote mpaka sasa nashindwa nianzie wapi, inavyoonekana mpaka dada huyu kulia kwa uchungu mbele yangu itakuwa kweli mke wangu anatoka kweli na mmewake
Ndugu zangu hili suala ni zito kweli kwangu nianzie wapi, majibu sina. Nimeamua kulileta hapa mimi kijana mwenzenu mnipe mawazo nifanye nini nimetuliza akili yangu sijakurupuka ila hatua ya kwanza nimeona nililete hapa.
Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
Jamvi la wageni.Ndugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa
Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.
Jana jioni mida ya saa moja nikiwa kazini kwangu kuna dada ninayemfahamu kwa sura tunaishi mtaa mmoja alikuja kazini kwangu, hapo kazini kulikua na watu kadhaa wakipata huduma,
Baada ya watu wote kuondoka alinifata huyo dada akanieleza kwa uchungu mkubwa kuwa "mke wako anatembea na mme wangu mwambie mkeo aachane na mme wangu" maneno hayo aliyatamka kwa kuyarudiarudia na mpaka machozi yakamtoka
Kuna watu wakatokea pale kupata huduma yule dada akaondoka sikupata nafasi ya kuzungumza nae kiundani ili kujua mke wangu alitembea na mme wake lini, na nimeshindwa kuchukua hatua yoyote mpaka sasa nashindwa nianzie wapi, inavyoonekana mpaka dada huyu kulia kwa uchungu mbele yangu itakuwa kweli mke wangu anatoka kweli na mmewake
Ndugu zangu hili suala ni zito kweli kwangu nianzie wapi, majibu sina. Nimeamua kulileta hapa mimi kijana mwenzenu mnipe mawazo nifanye nini nimetuliza akili yangu sijakurupuka ila hatua ya kwanza nimeona nililete hapa.
Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
Then ampe mimba iwe GG and over 2.5Kumekuchaaaa
Kumekuchaa
Fanya hivi,
Na wewe toka na huyo alieleta taarifa ili iwe GG 😁