Nimeletewa Kesi: Mke wangu anatoka kimapenzi na Mume wa Mtu

Kwa upande wangu siwezi kukushauri kulipa kisasi kwa kutembea na mke wa mtu hiyo haiusaidii chochote zidi ya kukubadilisha kutoka kua mtu wa maana na kua mtu wa ovyo.Hakuna baya linamwongezea mwandamu kitu cha thamani,though wengi wanachukulia poa lakini ukweli ni kwamba ubaya ni mbegu,kwahyo unapofanya ubaya jua umepanda mbegu na kesho utavuna bila kujali ulikua unalipa kisasi au la.
Dunia tulionayo ni ngumu unahitaji zaidi maarifa na subira usiruhusu ubaya wa watu wengi wengine ukakubadili nawewe kua mtu mbaya au wa hovyo.Utu wako mwenyewe na heshima ni muhimu kuliko chochote.
Kuna mtu pale amekuuliza mahusiano yako na mkeo yakoje? Inawezekena kuna vidalili ambavyo vilishakuwepo vya kudhoofisha mahusiano yenu lakin ukapuuza au ukaamini utaviweka sawa na badala yake ikawa tofauti.
Nafikiri kutoka kwenye historia ya mahusiano yenu hapo ndio kuna maamuzi sahihi,ingawa kwangu mimi kwa tu kufikia hatua ya kutembea tena na mume wa mtu sioni kama kuna cha kumsamehe,ndio utaweza lakin hautkuana mani tena kitu ambacho ni hatari zaidi.
 
mnunulie mke wako simu mpya halafu uihack hiyo simu kabla ya kumpa yaani fanya uweze kupata taarifa zote anazowasiliana, ikiwa huwezi hiyo app unaweza kuuliza wataalamu wa IT au sehemu utakayonunua simu au wale watengenezaji wa simu watakufanyia namna utaweza kum spy huyo mwanamke na utajua kama ni kweli au sio. ukishamnunulia simu mpya ile ya kwake ya zamani ichukue wewe, hapo utapata unachokitaka kwa sababu text na calls zote atakazofanya wife wako utazipata.

ila angalia usije kununua gunia mbili za mkaa, kama unaona huwezi vumilia kuona text za mahaba wanazotumiana au unaona hutaweza kumwacha mkeo basi njia hii sio nzuri.

Njia nyingine ni kujifanya umesafiri halafu urudi nyumbani by surprise tena iwe usiku hapo lazima utajua tu..

Njia nyingine mtumie bodaboda amfatilie kila anapokwenda na akupe taarifa..ni vema huyo boda asiwe wa mtaa huo mnaoishi..

pole sana mkuu maisha yana mengi ila usimhukumu bila kuchunguza
 
Muite huyo mke wa jamaa nyumbani kwako na mkeo akiwepo alafu asikilize malalamiko yake. Then solution yako iwe kwamba mbadilishane yeye aende kwa jamaa na ww ubakinna mkewe. Akikubali amejipa talaka. Maisha yanasonga.
 
Mtafute yule dada, mwambie akupe evidence.

Ukikurupuka utaharibu.

If it's true, mkanye mkeo, je tabia ina dawa ?
 


Mmefunga ndoa au mnaishi pamoja tu?
 
HUko Geita ninavyokufahamu, jiandae kumpeleka mkeo hospitalini kutibu hedhi isiyokatika au kupata mimba ya miaka 3
 
Mwambie mkeo aachane na mume wa mwenzie kabla hajapatwa na Jambo baya.
 
Mimi nakuelewa sana Mkuu
tena kwa mfano halisi/hai kabisa toka hapo nahisi nilipata matatizo kiakili yaani nikisikia au kusoma neno NDOA huwa nasikia uchungu moyoni mwangu, mimi kila nikiona watu wanafunga ndoa huwa naona watu wanaingia kwenye matatizo ya kujitakia sijajua ni mimi tu ndo huwa nawaza hivi au, ila msamehe kama unampenda hata usifatilie zaidi potezea maisha yaendelee ila jua tu hautakuwa kawaida kiakili mpaka unaingia kaburuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…