Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,117
- 1,403
Kula Huyo Manzil full stop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una manisha hili jukwaa lifutwe kama hutaki tujadiri masuala ya ndoaUkishindwa kuyamaliza na mke wako au mme wako. Basi bora muachane.
Kutegemea ushauri kwa mambo ya mtu kaliwa huko huo ni ujinga mnajitangaza na kuchafuana.
Tukae tuzungumze kama unakubali na kuomba msamaha sawa. Na mimi itategemea nakusamehe au lah. Hayo ndiyo maamuzi kwa mwanaume anayejielewa..
Huko kwenye ushauri mtaambiwa msamehehane tu ni mambo ya ndoa unadhani watakwambia muachane?
Unatarajia atamwambia ukweli..?Inabidi tu umuulize mkeo kupata ukweli, hamna namna
Siku maanisha hivyo!Una manisha hili jukwaa lifutwe kama hutaki tujadiri masuala ya ndoa
sometime inabidi tuweke jokes upande na tuwe serious.Kumekuchaaaa
Kumekuchaa
Fanya hivi,
Na wewe toka na huyo alieleta taarifa ili iwe GG 😁
What? Jamani kuweni serious na mpeni mwenzenu ushauri bora na sio utani, mambo mengine kama haya hayafai kufanyia dhihaka.Anakutaka huyo mwanamke shtuka
Swali la kwanza kabisa ""NANI ALIMTUMA AOE .... ??""Naomba nimkaribishe mwenyekiti wa chama Cha kataa ndoa Liverpool VPN .
👉 Mwenyekiti wa nyeto dronedrake
Mwenzetu?What? Jamani kuweni serious na mpeni mwenzenu ushauri bora na sio utani, mambo mengine kama haya hayafai kufanyia dhihaka.
Ok sawa kama hayo ndio maoni yako ya kimaisha juu ya issue kama hii basi sawa, sina sababu ya kupingana nawe, ila kwa upande wangu nilihisi kuwa hukuwa serious!Mwenzetu?
Hayo ndio maoni yangu baada ya kusoma bandiko lake wala sio utani, kama unaona nimefanya dhihaka na unajua kipi sahihi anapaswa kufanya msaidie kwa kuyaandika hapa.
Nipo serious kwa nilichokiandikaOk sawa kama hayo ndio maoni yako ya kimaisha juu ya issue kama hii basi sawa, sina sababu ya kupingana nawe, ila kwa upande wangu nilihisi kuwa hukuwa serious!
🤣AiseeHAWAELEWI...
Ngoja yawakute.
#YNWA
Usipaniki, usikurupuke, kuwa mpole, tenda kwa akili yaani fikiri vizuri sana kabla ya kutenda lolote.Ndugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa
Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko.
Jana jioni mida ya saa moja nikiwa kazini kwangu kuna dada ninayemfahamu kwa sura tunaishi mtaa mmoja alikuja kazini kwangu, hapo kazini kulikua na watu kadhaa wakipata huduma,
Baada ya watu wote kuondoka alinifata huyo dada akanieleza kwa uchungu mkubwa kuwa "mke wako anatembea na mme wangu mwambie mkeo aachane na mme wangu" maneno hayo aliyatamka kwa kuyarudiarudia na mpaka machozi yakamtoka
Kuna watu wakatokea pale kupata huduma yule dada akaondoka sikupata nafasi ya kuzungumza nae kiundani ili kujua mke wangu alitembea na mme wake lini, na nimeshindwa kuchukua hatua yoyote mpaka sasa nashindwa nianzie wapi, inavyoonekana mpaka dada huyu kulia kwa uchungu mbele yangu itakuwa kweli mke wangu anatoka kweli na mmewake
Ndugu zangu hili suala ni zito kweli kwangu nianzie wapi, majibu sina. Nimeamua kulileta hapa mimi kijana mwenzenu mnipe mawazo nifanye nini nimetuliza akili yangu sijakurupuka ila hatua ya kwanza nimeona nililete hapa.
Asanteni
Yuda_exalioth
Jamiiforums_Geita
Wisely adviceUsipaniki, usikurupuke, kuwa mpole, tenda kwa akili yaani fikiri vizuri sana kabla ya kutenda lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani wewe umegongewa mke alafu unatuambia Wewe ni mzima wa afya una akili wewe?
Unaweza kukuta ni mbovu kuliko mke wa jamaa
Sahih kbsa Kisha wamtumie mme wake kavideo Cha uchokoziKumekuchaaaa
Kumekuchaa
Fanya hivi,
Na wewe toka na huyo alieleta taarifa ili iwe GG 😁