Nimelia sana baada ya kuona sanamu jipya la Mwalimu Nyerere nchini Cuba. Waziri Ndumbaro naomba ujitafakari!

Duh,
Hapo walichopatia ni jina pekee. Hiyo sanamu ni bandia, labda ni ya ndugu yao!!

CHAWA Tlaatlaah & co, tukiwambia ccm imechoka mno muwe mnaelewa
 
Mwashambwa anakwambia nchi ingetikisika kwa uzinduzi wake
Tena siyo nchi tu, dunia
 
Ile sanamu imezinduliwa,naona videos,yupo Waziri Mahmoud Thabit Kombo pale na Humphrey Polepole,na yule nani sijui yule Mzee nadhani Hashim Mbita,and a hundred or so Cubanos. Na Madaraka Nyerere yupo. In fact, Madaraka nimemuona sasa hivi hapa na sanduku. Nilikuwa sijui kwamba anatoka Cuba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…