Nimelia sana na bado ninalia sana kwa kifo cha Esther Mahawe. Huyu Mama ameniuma sanaa

Amepiga kazi sana Mbozi
 
Sasa hivi yuko kwa babu yake anachanjwa chale hadi makalioni na amelala kwenye ngozi ya fisi ili kulilia mizimu imsaidie kupata hiyo nafasi
Mimi siyo kama wewe mwenye mawazo ya kushirikiana na ushirikina. Ninaomboleza Kifo cha Mkuu wangu wa wilaya kwa huzuni na uchungu mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…