Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia nov mpaka sasa maeneo ya mkoa wa pwani akukua na mvua ya maana,kama umelima maeneo hayo tegemea kupata mhogo mzuri na utapiga hela ya kutoshaEkari tano kulima ilinigharimu laki nne, nilipata vijana wanne kwa makubaliano unawapa sehemu ya kulala, wanatembea na kapu lao ndani wana sufuria. Wanaamaka asubuhi wanakwenda kulima mpaka saa tano wamemaliza. Wakirudi wanapika chakula chao wenyewe. Iliwachukua siku tatu kumaliza ekari tano na kila mtu alishika laki yake mkononi.
Tulipanda mwezi November, palizi tumemaliza wiki iliyopita. Palizi ilichukua laki mbili. Kuna wanunuazi wameomba kuchukua shamba kwa milioni tatu. Hili bado sijaafikiana nao. Ninataka kuuza rejareja kwa watakao hitaji ya iftar.
Shamba liko katika barabara kuu kwahiyo changamoto ya usafiri sina. Faida nyingine ni kula kisamvu, baada ya palizi tumeanza kula kisamvu na kitamu sana.
Wapi Huko raiaUkihitaji nyingine, zipo eka kumi, laki na nusu tu kwa kila eka moja
Gombero hapo nimepaelewa sijafika ila wanasema ni poa sana mim nimefika Kwediboma and vitongoji vya jirani nimeona watu wakilima sana ila vile soko haieleweki sana mpaka mihogo vinakomaa sana shambaniUkanda wa Pwani kutoka Gombero,Pangani Bagamoyo mpaka Lindi na Mtwara mihogo inastawi sana na ladha ya mihogo yake ni mitamu sana.
Are you serious au michezo tuu?Inategemea na mchumaji mkuu, kisamvu cha mihogo kwa usalama zaidi inatakiwa achume mwanaume,
Hata kunde na mazao mengineyo ya mboga inatakiwa achume mwanaume, usiruhusu hata siku moja achume mwanamke au binti maana huwezi juwa yupo kwenye hali gani
Ila kisamvu cha mihogo ni kitamu asikwambie mtu
Mkuu, mimi ni mtoto wa mkulima na nimeshuhudia Bi mkubwa alivyokuwa akigombana na wateja wake aliokua akiwauzia mbaazi mbichi, kunde, choroko, kisamvu n.k.Are you serious au michezo tuu?
Nimeandaa kikapuEkari tano kulima ilinigharimu laki nne, nilipata vijana wanne kwa makubaliano unawapa sehemu ya kulala, wanatembea na kapu lao ndani wana sufuria. Wanaamaka asubuhi wanakwenda kulima mpaka saa tano wamemaliza. Wakirudi wanapika chakula chao wenyewe. Iliwachukua siku tatu kumaliza ekari tano na kila mtu alishika laki yake mkononi.
Tulipanda mwezi November, palizi tumemaliza wiki iliyopita. Palizi ilichukua laki mbili. Kuna wanunuazi wameomba kuchukua shamba kwa milioni tatu. Hili bado sijaafikiana nao. Ninataka kuuza rejareja kwa watakao hitaji ya iftar.
Shamba liko katika barabara kuu kwahiyo changamoto ya usafiri sina. Faida nyingine ni kula kisamvu, baada ya palizi tumeanza kula kisamvu na kitamu sana.
Pwani l wilaya chalinze
Zipo wapi mkuu?Ukihitaji nyingine, zipo eka kumi, laki na nusu tu kwa kila eka moja
Aiseee,
- Stir together the flour and salt. Make a well in the centre and add 5–6 tablespoons of lukewarm water with the oil. Using your hands, bring the dough together into a ball. Turn out onto a work surface and knead for 5–10 minutes, wrap in cling film and leave to rest for 20 minutes.
- Divide the dough into four portions and roll into small balls. Dust a work surface with a little flour. Roll out each ball until around 18cm/7in in diameter, around 2–3mm/⅛in thick.
- Dry-fry over a medium heat for 20 seconds, pressing lightly with a spatula. Flip over and cook on the other side for 20 seconds, or until the tortilla is cooked, but remains soft and pliable. Repeat with the remaining three tortillas.
Mihogo mbegu ya wapi hiiinachukua miezi mitano hadi kuvunwa?Ekari tano kulima ilinigharimu laki nne, nilipata vijana wanne kwa makubaliano unawapa sehemu ya kulala, wanatembea na kapu lao ndani wana sufuria. Wanaamaka asubuhi wanakwenda kulima mpaka saa tano wamemaliza. Wakirudi wanapika chakula chao wenyewe. Iliwachukua siku tatu kumaliza ekari tano na kila mtu alishika laki yake mkononi.
Tulipanda mwezi November, palizi tumemaliza wiki iliyopita. Palizi ilichukua laki mbili. Kuna wanunuazi wameomba kuchukua shamba kwa milioni tatu. Hili bado sijaafikiana nao. Ninataka kuuza rejareja kwa watakao hitaji ya iftar.
Shamba liko katika barabara kuu kwahiyo changamoto ya usafiri sina. Faida nyingine ni kula kisamvu, baada ya palizi tumeanza kula kisamvu na kitamu sana.
Mi naomba unialike nije "kula Kisamvu"....Pia naweka order ya mihogo, gunia moja kubwa, ikishakuwa tayari.Ekari tano kulima ilinigharimu laki nne, nilipata vijana wanne kwa makubaliano unawapa sehemu ya kulala, wanatembea na kapu lao ndani wana sufuria. Wanaamaka asubuhi wanakwenda kulima mpaka saa tano wamemaliza. Wakirudi wanapika chakula chao wenyewe. Iliwachukua siku tatu kumaliza ekari tano na kila mtu alishika laki yake mkononi.
Tulipanda mwezi November, palizi tumemaliza wiki iliyopita. Palizi ilichukua laki mbili. Kuna wanunuazi wameomba kuchukua shamba kwa milioni tatu. Hili bado sijaafikiana nao. Ninataka kuuza rejareja kwa watakao hitaji ya iftar.
Shamba liko katika barabara kuu kwahiyo changamoto ya usafiri sina. Faida nyingine ni kula kisamvu, baada ya palizi tumeanza kula kisamvu na kitamu sana.
Pwani mionoZipo wapi mkuu?