Nimeliona hili mara Mbili karibu na Jengo la VIP Mortuary ya Lugalo Hospital hasa wakifa Viongozi je, lina maana au 'tunakompliketi' tu mambo?

Pumba tupu..
Ushasema ni VIP Mortuary Sawa hayo maswali ya kitoto .. si uwalize watoto wenzako .
 
Hapo Kuna Jambo kauliza la maana Sana Ila usipoelewa utatoka kapa mkuu
Siku zote huwa nasema na naendelea Kusema kuwa kumuelewa vyema GENTAMYCINE ( hasa kwa Threads zake hapa JamiiForums ) yakupasa uwe na Sixth ( 6 ) Sense halafu na Kichwani ( hasa IQ ) yako iwe imekamilika, ila ukiwa ni Mpumbavu Kiasili na wa Kurithishwa kamwe hutonielewa na utabaki kudhani ama nimekurupuka au nimekosea.

Nikupongeze tu kwa kuwa na IQ Kubwa.
 
Pumba tupu..
Ushasema ni VIP Mortuary Sawa hayo maswali ya kitoto .. si uwalize watoto wenzako .
Kati ya Wachangiaji wote aliyenielewa na Kuchangia kwa Kutumia Akili ni King Kong III katika post yake #13 na mliobaki mmechangia hasa kwa kutumia kwa 'Mpalange' zenu mnazozimiliki.
 
Hapa Kuna Swali la maana lakini pia Kuna kitu unawakumbusha Hawa watu Ila ndio hivyo Tena tumeshindwa kukuelewa Ila nimekupata vizuri mno
Kwa IQ yako Kubwa uliyonayo ( unayoimiliki ) Mkuu ningeshangaa sana kama usingenielewa juu ya huu Uzi na nilichokilenga hasa.

Nina bahati mbaya mno ya Kueleweka vibaya na Wapumbavu ( Fools ) wengi ila Kueleweka vizuri na Werevu ( Brainiacs ) wachache.
 
Maiti ni maiti . Hata ukimlaza five star hotel bado ni maiti.
 
Maiti ni maiti . Hata ukimlaza five star hotel bado ni maiti.
Na kwanini huwa zinakuwa / zinalindwa 'under tight and heavy Military security' zikiwa hapo Lugalo Hospital MCMS VIP Mortuary huku hadi barabara inayotumiwa na Raia pamoja na Wanajeshi wenyewe Kufungwa kwa muda?
 
Huenda wanahisi kuna wenye hasira kama Mkulima Mwamwindi ,kuibuka na kuchukua Maiti ya VIP, say Marehemu Mzee Meko na kuiburuza Mitaani.
 
Yani wanafikiri wakiruhusu watu kupitapita basi kuna mtu anaweza ingia humo vip mortuary na "kuidhuru au kuiua tena maiti"
iliyohifadhiwa humo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…