Nimelipia elfu 10 kwa bidhaa ya elfu 3 kwa simu, muuzaji kanipa chenji elfu 6 na 500

Semeni Bugoke

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
390
Reaction score
675
Leo nimeingia kwenye kioski kimoja hapa mtaani kwetu, nikiwa na lengo la kununua bidhaa. Tatizo nilikuwa sina pesa taslimu (cash), nikamwambia muuzaji hivyo. Akanijibu kwa utulivu, "Usiwaze, unaweza kulipa kwa simu."

Nilifurahi sana kwa sababu nilikuwa nahitaji hiyo bidhaa kwa dharura. Nikatoa simu, nikapiga malipo chap chap. Bidhaa yenyewe ina bei ya elfu tatu tu (3,000). Lakini kwa bahati mbaya au uzembe wangu, nimetuma elfu kumi (10,000).

HESABU NILIZOTEGEMEA:

· Nimetuma: 10,000
· Bei ya bidhaa: 3,000
· Chenji inayotakiwa: 7,000

Sasa hio huduma ya lipa Kwa simu nini maana yake?
 
Utapeli simu hizi ni kila kona na hakuna chakufanya
 
Hata hili ni la kuuliza JF kweli? We're underrated 😤
 
Kwenye salio anakata service provider ambayo mwenye duka hafaidiki nayo, we ulikuwa una float umenunua cash so huduma ya kupata cash from float umetozwa mia tano!!
Ukiamua kutoa huduma ya Lipa namba kwanini ukate watu pesa ya pembeni? Mbona maduka makubwa tunanunua bidhaa kwa simu tunalipia pesa kamili thamani ya bidhaa hakuna makato ya pembeni
 
Back
Top Bottom