Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Yes wameshanielewesha kabisa hii iko sawaUlitakuwa kulipa 3000/= sio 10,000/= so kuna service ya ziada ya kutoa 7000/= ndio maana amekata hiyo 500/=
Yes wameshanielewesha kabisa hii iko sawaUlitakuwa kulipa 3000/= sio 10,000/= so kuna service ya ziada ya kutoa 7000/= ndio maana amekata hiyo 500/=
Mhudumu kakosea Sana, dukani kwangu ningekuongezea bidhaa Hadi ifike hiyo 10000 uliyolipia hizo bidhaa.Sio kweli ni utapeli
Mhudumu kakosea Sana, dukani kwangu ningekuongezea bidhaa Hadi ifike hiyo 10000 uliyolipia hizo bidhaa.
Kumpa mteja huduma aliyoilipia siyo ufala, ni haki yake hakuna mfalme fala.Kwako mteja si ni fala sio mfalme
Uzembe wako ndio unakuja kulaumu watu.Leo nimeingia kwenye kioski kimoja hapa mtaani kwetu, nikiwa na lengo la kununua bidhaa. Tatizo nilikuwa sina pesa taslimu (cash), nikamwambia muuzaji hivyo. Akanijibu kwa utulivu, "Usiwaze, unaweza kulipa kwa simu."
Nilifurahi sana kwa sababu nilikuwa nahitaji hiyo bidhaa kwa dharura. Nikatoa simu, nikapiga malipo chap chap. Bidhaa yenyewe ina bei ya elfu tatu tu (3,000). Lakini kwa bahati mbaya au uzembe wangu, nimetuma elfu kumi (10,000).
HESABU NILIZOTEGEMEA:
· Nimetuma: 10,000
· Bei ya bidhaa: 3,000
· Chenji inayotakiwa: 7,000
Sasa hio huduma ya lipa Kwa simu nini maana yake?
Unaruhusiwa.Kwahiyo nikiwa na liteni siruhusiwi kwenda kununua bidhaa ya buku ?
Uzembe wako ndio unakuja kulaumu watu.
Unaruhusiwa.
🤣🤣Wewe ni muhuni tu.. ila umekutana na msela sasa na akakujibu kwa Utulivu ..Usiwaze ila umeona vita yake kwenye vitendo sasa
Kaleta usanii nyumba ya sanaaa.Mhudumu yupo mbele ya muda
Makato kwa sababu uyu ametoa cash kama bidhaa ni elfu3 kwa nin asilipe hiyo hiyo elfu3 badala yake kalipa 10,000 akitegemea kilicho zidi arudishiwe kama chenji ndio maana ametozwa kias ikoUkiamua kutoa huduma ya Lipa namba kwanini ukate watu pesa ya pembeni? Mbona maduka makubwa tunanunua bidhaa kwa simu tunalipia pesa kamili thamani ya bidhaa hakuna makato ya pembeni