Kwa sababu yupo sahihiKwanini yupo sahihi?
Nenda pale "central" mkuu, polisi wa pale wanatoa buku tano tano aka makofi bureee kabisaaa.Nimekwama 5k Naomba Mwenye Nayo Anisaidie 🙏
Ni moja kati ya huduma bora kabisa.Mbona ni kawaida tu, wew ndio hujaijua hiyo huduma ila muuzaj yupo sahihi kabsa!
Prof J anakwambia 'alie toa fadha feki, kauziwa cheni feki'Mjuaji kakutana na muhuni...
Kabisa haingii akilini utume elfu tatu kisha uweke elfu 10.Anahadaa watu elfu tatu na elfu kumi wapi na wapi huyo alitaka cash na mtoa huduma alikua mbele ya muda akamkata jero la kutolea
Muuzaji hayuko sahihi hakuna gharama inayokatwa mwenye lipa namba akienda kutoa pesa anatoa pesa bila kukatwaMbona ni kawaida tu, wew ndio hujaijua hiyo huduma ila muuzaj yupo sahihi kabsa!
The issue ni kwa, nini na,wewe ulipe zaidi? Ulirakiwa face value, hio buku 3 kwa nini wewe umelipa 10??Ukiamua kutoa huduma ya Lipa namba kwanini ukate watu pesa ya pembeni? Mbona maduka makubwa tunanunua bidhaa kwa simu tunalipia pesa kamili thamani ya bidhaa hakuna makato ya pembeni
Na inatumika kama huduma ya kutolea pesa pia. Ambapo wewe ulilipa bidhaa na kutoa kiasi kingineSasa unanikata mia Tano ya nini wakati Ile huduma ni ya lipa namba Kwa ajili ya kulipia bidhaa kwenye kioski..
Bidhaa uliyolipia ni hiyo elf3, so miatano umekatwa kwenye huduma ya kupata cash ya elf7Gharama ya huduma gani na wakati huduma nimelipia bidhaa iliyo ndani ya kioski chake..
Kabisa haingii akilini utume elfu tatu kisha uweke elfu 10.
Bidhaa uliyolipia ni hiyo elf3, so miatano umekatwa kwenye huduma ya kupata cash ya elf7
Angekurudishia elfu 7 make ni huduma ya bidhaa tu aliyokufanyia!!Sasa ningeenda na noti ya shilingi elfu kumi angenirudishia chenji shingapi
Anakukata kwa sababu cash si imetoka kwenye duka lake so tayari hiyo ni huduma? Kama kwenye line hakatwi sasa usiende wewe ukachukulie kule cash anakochukuliaga yeye na wewe pia hutakatwa Kama yeye ambavyo hakatwi!!hata huko kwenye line akienda kutoa hakatwi kitu kwanini Mimi anikate?
Anakukata kwa sababu cash si imetoka kwenye duka lake so tayari hiyo ni huduma? Kama kwenye line hakatwi sasa usiende wewe ukachukulie kule cash anakochukuliaga yeye na wewe pia hutakatwa Kama yeye ambavyo hakatwi!!
Ulitakuwa kulipa 3000/= sio 10,000/= so kuna service ya ziada ya kutoa 7000/= ndio maana amekata hiyo 500/=Ukiamua kutoa huduma ya Lipa namba kwanini ukate watu pesa ya pembeni? Mbona maduka makubwa tunanunua bidhaa kwa simu tunalipia pesa kamili thamani ya bidhaa hakuna makato ya pembeni