Semeni Bugoke
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 390
- 675
Mhudumu yupo mbele ya muda😂😂😂😂 kwanini ulipe 10k? Lengo lako upate cash bila kutoa kwa wakala muuzaji kakushtukia!
Fanya jambo Ndg kimyaMhudumu yupo mbele ya muda
Angalia salio mkuuFanya jambo Ndg kimya
Cheche Weka Tafadhali Nakuomba Bwashee MwangazzaAngalia salio mkuu
Utapeli simu hizi ni kila kona na hakuna chakufanyaLeo nimeingia kwenye kioski kimoja hapa mtaani kwetu, nikiwa na lengo la kununua bidhaa. Tatizo nilikuwa sina pesa taslimu (cash), nikamwambia muuzaji hivyo. Akanijibu kwa utulivu, "Usiwaze, unaweza kulipa kwa simu."
Nilifurahi sana kwa sababu nilikuwa nahitaji hiyo bidhaa kwa dharura. Nikatoa simu, nikapiga malipo chap chap. Bidhaa yenyewe ina bei ya elfu tatu tu (3,000). Lakini kwa bahati mbaya au uzembe wangu, nimetuma elfu kumi (10,000).
HESABU NILIZOTEGEMEA:
· Nimetuma: 10,000
· Bei ya bidhaa: 3,000
· Chenji inayotakiwa: 7,000
Sasa hio huduma ya lipa Kwa simu nini maana yake?
Inakatwa kwenye salio la mnunuaji/mliaji hii nyingine ya pembeni ni kwa ajili gani?Hiyo mia tano ni gharama ya huduma!!
Sio kweli ni utapeliMbona ni kawaida tu, wew ndio hujaijua hiyo huduma ila muuzaj yupo sahihi kabsa!
🤣🤣😂😂😂😂 kwanini ulipe 10k? Lengo lako upate cash bila kutoa kwa wakala muuzaji kakushtukia!
Hata hili ni la kuuliza JF kweli? We're underrated 😤Leo nimeingia kwenye kioski kimoja hapa mtaani kwetu, nikiwa na lengo la kununua bidhaa. Tatizo nilikuwa sina pesa taslimu (cash), nikamwambia muuzaji hivyo. Akanijibu kwa utulivu, "Usiwaze, unaweza kulipa kwa simu."
Nilifurahi sana kwa sababu nilikuwa nahitaji hiyo bidhaa kwa dharura. Nikatoa simu, nikapiga malipo chap chap. Bidhaa yenyewe ina bei ya elfu tatu tu (3,000). Lakini kwa bahati mbaya au uzembe wangu, nimetuma elfu kumi (10,000).
HESABU NILIZOTEGEMEA:
· Nimetuma: 10,000
· Bei ya bidhaa: 3,000
· Chenji inayotakiwa: 7,000
Sasa hio huduma ya lipa Kwa simu nini maana yake?
Kwenye salio anakata service provider ambayo mwenye duka hafaidiki nayo, we ulikuwa una float umenunua cash so huduma ya kupata cash from float umetozwa mia tano!!Inakatwa kwenye salio la mnunuaji/mliaji hii nyingine ya pembeni ni kwa ajili gani?
Ukiamua kutoa huduma ya Lipa namba kwanini ukate watu pesa ya pembeni? Mbona maduka makubwa tunanunua bidhaa kwa simu tunalipia pesa kamili thamani ya bidhaa hakuna makato ya pembeniKwenye salio anakata service provider ambayo mwenye duka hafaidiki nayo, we ulikuwa una float umenunua cash so huduma ya kupata cash from float umetozwa mia tano!!
Wewe umenunua bidhaa ya elf3, hiyo elf7 umenunua cash so hiyo miatano ndo faida ya muuza duka kwa yeye kukuhudumia cashUkiamua kutoa huduma ya Lipa namba kwanini ukate watu pesa ya pembeni? Mbona maduka makubwa tunanunua bidhaa kwa simu tunalipia pesa kamili thamani ya bidhaa hakuna makato ya pembeni