Nimelipia elfu 10 kwa bidhaa ya elfu 3 kwa simu, muuzaji kanipa chenji elfu 6 na 500

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwanini ulipe 10k? Lengo lako upate cash bila kutoa kwa wakala muuzaji kakushtukia!

Kwahiyo ningeenda na buku teni angenikata pia?. Kwasababu issue ni buku teni lile lile haijalishi liwe kwenye simu au cash πŸ«ͺ
 
Enhe! Naam hii hoja safi. Kwanini nikatwe kwenye simu na yeye muuzaji anikate pia
Wapo wanayotaka wakukate cha ziada nje ya Ile service chaji, kwa Kesi ya Huyu jamaa nimeelewa ni tofauti kidogo jamaa alitaka na cash, yeye huduma yake ni malipo ya 3k , ikabidi alipe 10k kwa mtandao ili apewe cash ya 7k back, Mto huduma huyo amechaji 500 kama ambavyo Wakala angemkata tena zaidi ya 500
 
Ungelipa kimakosa labda ungetuma 300/= au 30000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…