Nimelipia elfu 10 kwa bidhaa ya elfu 3 kwa simu, muuzaji kanipa chenji elfu 6 na 500

Uzembe wako ndio unakuja kulaumu watu.
 
🤣🤣Wewe ni muhuni tu.. ila umekutana na msela sasa na akakujibu kwa Utulivu ..Usiwaze ila umeona vita yake kwenye vitendo sasa
 
Ukiamua kutoa huduma ya Lipa namba kwanini ukate watu pesa ya pembeni? Mbona maduka makubwa tunanunua bidhaa kwa simu tunalipia pesa kamili thamani ya bidhaa hakuna makato ya pembeni
Makato kwa sababu uyu ametoa cash kama bidhaa ni elfu3 kwa nin asilipe hiyo hiyo elfu3 badala yake kalipa 10,000 akitegemea kilicho zidi arudishiwe kama chenji ndio maana ametozwa kias iko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…