Nimelipia nguzo TANESCO muda mrefu mpaka leo hawajarudi kunipa huduma

post kwenye UZI wa special thread wa tanesco kuna jamaa aipost alilalamika miezi nguzo iliangukia kwake hawajabadilisha kila akipiga simu kesho kesho baada kupost akaambiwa atume details Pm siku tatu akaja na mrejesho wamebadilisha nguzo

so km ni zile nguzo mbili au moja kuja kwako nina uhakika ukipost utapata suluhu ya halaka jaribu
 
Nkono Ntupu haulambwi, mnadharau misemo ya wahenga? endelea kusubiri
 
Kwa kuwa ulichelewa wakati wa uhai wa "mheshimiwa mungu" itabidi usubiri hadi siku Gwajima atakapomfufua.
 
hii nchi rushwa haaishi kamwe.......fuatilia control number kwa yule survey....mshikishe kiduchu....huyo ndie anaeweza kupush upate control number......then huyo huyo anaweza maliza mchezo..........achana na manager au vikaragosi wengine....surveyor ndo sterling....
 
Kwa Sasa wanapambana na ukame sijui kama watakukumbuka
 
Kwa kuwa ulichelewa wakati wa uhai wa "mheshimiwa mungu" itabidi usubiri hadi siku Gwajima atakapomfufua.
process zimeanza mwez wa saba mwaka huu akiwa magu ameshafariki umesoma lakini kwa umakini
 
simkumbuki jina wala sura yake na sjui nampataje
 
Nkono Ntupu haulambwi, mnadharau misemo ya wahenga? endelea kusubiri
sasa shida inakuja nimtafte nani huyo mpimaji hata skukumbuka kumtafta teena mkandaras ndio ninaongea naye hivo naskilizia mana hata leo nimemtafta kasema atanipa majibu bado nasubiri
 
hao nilishawachek pm nikawapa na details wakanijibu nisubiri foleni bado na nguzo ni moja
 
process zimeanza mwez wa saba mwaka huu akiwa magu ameshafariki umesoma lakini kwa umakini
Kwa kawaida ni wasumbufu, bila kuwasumbua, unaweza sahaulika mazima, ila pia wanao muda wa kumhudumia mteja kulingana na mazingira ya mteja husika, kama unahitaji nguzo, au hauhitaji muda unatofautiana.
 
NAMBA ZETU
0717/ 0788 379696

MALENGO
1.Kusogeza huduma karibu na wewe

2.Kutoa njia mbadala ya wewe kutupatia taarifa.

3.Kutoa njia mbadala kwa sisi kukupatia taarifa na elimu dhidi ya bidhaa,taratibu na huduma zetu.

4.Kujenga uhusiano mzuri baina yako na TANESCO

TAHADHARI

-Tutumie lugha yenye staha na heshima kwa wote
 
Kwa kawaida ni wasumbufu, bila kuwasumbua, unaweza sahaulika mazima, ila pia wanao muda wa kumhudumia mteja kulingana na mazingira ya mteja husika, kama unahitaji nguzo, au hauhitaji muda unatofautiana.
yan nimeona nikikaa kimya mimi ndio nna shida nipo tayar hata hiyo hela kutoa ngoja niendelee kupambana nao
 
thanks ngoja niwatafute
 
ziko busy hizo my friend
 
Tatizo ile posho tuyao waomba kwaajili ya kuwaletea huduma haraka mnaiita rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…