Nimelipia nguzo TANESCO muda mrefu mpaka leo hawajarudi kunipa huduma

Nimelipia nguzo TANESCO muda mrefu mpaka leo hawajarudi kunipa huduma

Ulilipia nguzo kivipi? Nguzo haziuzwi, umepigwa. Toa taarifa kwa meneja.
hao mods wa hovyo mno wanahariri tu mimi sjalipia nguzo ila niliishia tu kurudisha form nikafatwa na mpimaji mara mbili tangu hapo had sasa kimya nishaenda ofisini kwao majibu yao hayakuniridhisha
 
Toa hela acha ubahili
kuna binadam mnakera, hebu jiongeze bas

had namtafta mkandarasi it means nilishajipanga kwa njia hiyo ili mambo yangu yaende kwa haraka na siku alokuja mkandaras akaniletea na mpimaji hiyo n mwez wa saba nikakaa mwez wa tisa akaja mpimaji mwengine baada ya hapo kimyaaa na nilishaongea na mkandaras akanijibu sina haja ya yote hayo
 
Ulilipia nguzo ya namna gan coz serikali sahv iko katika mpango wa kubadili nguzo za miti nchi nzima na kuweka za concrete ....
mods wamecorrect kitu ambacho sicho

sijalipia nguzo wala hata control namba sjapewa nimeishia tu kwa mkandaras
 
Habari za muda huu,

Jamani ninaomba kuuliza, tulifanya process za kuomba umeme tangu mwezi wa saba mwaka huu, na tuliwatumia wakandarasi wa hapo hapo tanesco kutujazia na kutuchorea na kurudisha form tanesco Tanga Mjini.

Sasa siku hiyo hiyo alikuja mtu wa kufanya survey na akapima pima pale na kikubwa kilichotakiwa ni nguzo, tukakaa tukisubiri kuitwa kwenda kulipia nguzo iwekwe umeme uingie, tulisubiri mno kwenye mwez wa tisa nikapigiwa sim kama nilishapimiwa nikajieleza tayar wakanambia niende eneo husika niwaelekeze wao wanakuja, nikafika tukaelekezana wakaja wakapima tena baada ya hapo hicho kimya chake skukielewa ikabidi mimi nifunge safar mpaka hapo ofisini kwao.

Nikaomba kuonana na mtu wa kulitatua tatizo langu nikaonana na mama mmoja hivi hata usoni hakuangalii na jibu akataka tu namba na jina la form nikampa akanijibu ukiona tanesco wamekita nguzo kwenye hilo eneo ndio uje.

Nimesubiri kwa muda mrefu mnooo naomba kufahamishwa tatizo ni nini najua wahusika wapo humu nikimpigia yule mkandarasi majibu ni kama hayo sasa sielewi tangu mwezi wa saba had sasa naona zii.
Kwanza tanesco hawachaji nguzo kama umeluoua nguzo umedanganywa nenda tanesco mkoani mtafute meneja,utafungiwa umeme leoleo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
kuna binadam mnakera, hebu jiongeze bas

had namtafta mkandarasi it means nilishajipanga kwa njia hiyo ili mambo yangu yaende kwa haraka na siku alokuja mkandaras akaniletea na mpimaji hiyo n mwez wa saba nikakaa mwez wa tisa akaja mpimaji mwengine baada ya hapo kimyaaa na nilishaongea na mkandaras akanijibu sina haja ya yote hayo
Ulitaka waje hapo bila kutoa rushwa?unachekesha sana
 
Tunasikitika kuwa tulikupigia simu ukasema hauna tatizo je hilo ni lingine?
Mmenipigia asubuh hii na wamesema wanasubiri budget ya mrad ...huyo uliempigia na hakuwa na tatizo sio mm....kwahyo nasubir hyo budget
 
Kwanza tanesco hawachaji nguzo kama umeluoua nguzo umedanganywa nenda tanesco mkoani mtafute meneja,utafungiwa umeme leoleo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
hata hivyo sjalipia nguzo kabisaa yan mimi nimeishia tu kupimiwa na wamepima mara mbili watu tofauti hata control namba sjapewa na haya ni tangu mwez saba had leo
 
Kitu kidogo Cha nini wakati amekwisha kamilisha taratibu zote?
mimi nilitaka kujua nisubiri had lini yan nitapigiwa sim lini kupewa control namba nikalipie nimesubir kiasi uvumilivu unanishinda kibaya zaidi kuna mtu ni jiran yangu na ninapokaa kafanya process mwez wa tisa kaekewa umeme juzi kwa kweli ndio alonitia kimuhe muhe mimi wa nyuma bado
 
Sisi nguzo zimewekwa october hawajaweka wire, sasa sijui wanamaana gani na ni hapa tu kigamboni-kisarawe II
Mtasubiri sana kwani kuna watu nguzo zimesimikwa August na Septemba lakini nyaya hamna hadi dakika hii.
Wenye kuelewa mchezo na staili ya kucheza na hawa jamaa wanafungiwa nyaya na kuwasha umeme na hawa ni wale walio karibu kabisa na nguzo za mwisho zenye umeme tayari.
 
Back
Top Bottom