Nimesoma ndio maana nimesema ulichelewa wakati wa uhai wa mungu mtu ambaye wafuasi wake wanaamini hadi leo ndio aliyeweza kila kitu.process zimeanza mwez wa saba mwaka huu akiwa magu ameshafariki umesoma lakini kwa umakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma ndio maana nimesema ulichelewa wakati wa uhai wa mungu mtu ambaye wafuasi wake wanaamini hadi leo ndio aliyeweza kila kitu.process zimeanza mwez wa saba mwaka huu akiwa magu ameshafariki umesoma lakini kwa umakini
Si Bora nyie October sisi huku Arusha wameweka nguzo tangu July waya hawataki kuleta ajabu wengine wenye connection wanawekewa chap bila usumbufuSisi nguzo zimewekwa october...hawajaweka wire, sasa sijui wanamaana gani na ni hapa tu kigamboni-kisarawe II
Tafadhali tujulishe umelipia kwa jina gani? Namba ya simu uliyoandika kwenye form yako na Wilaya uliopo hata Dm Kwa hatua zaidiHabari za muda huu,
Jamani ninaomba kuuliza, tulifanya process za kuomba umeme tangu mwezi wa saba mwaka huu, na tuliwatumia wakandarasi wa hapo hapo tanesco kutujazia na kutuchorea na kurudisha form tanesco Tanga Mjini.
Sasa siku hiyo hiyo alikuja mtu wa kufanya survey na akapima pima pale na kikubwa kilichotakiwa ni nguzo, tukakaa tukisubiri kuitwa kwenda kulipia nguzo iwekwe umeme uingie, tulisubiri mno kwenye mwez wa tisa nikapigiwa sim kama nilishapimiwa nikajieleza tayar wakanambia niende eneo husika niwaelekeze wao wanakuja, nikafika tukaelekezana wakaja wakapima tena baada ya hapo hicho kimya chake skukielewa ikabidi mimi nifunge safar mpaka hapo ofisini kwao.
Nikaomba kuonana na mtu wa kulitatua tatizo langu nikaonana na mama mmoja hivi hata usoni hakuangalii na jibu akataka tu namba na jina la form nikampa akanijibu ukiona tanesco wamekita nguzo kwenye hilo eneo ndio uje.
Nimesubiri kwa muda mrefu mnooo naomba kufahamishwa tatizo ni nini najua wahusika wapo humu nikimpigia yule mkandarasi majibu ni kama hayo sasa sielewi tangu mwezi wa saba had sasa naona zii.
Tunasikitika kuwa tulikupigia simu ukasema hauna tatizo je hilo ni lingine?Sisi nguzo zimewekwa october...hawajaweka wire, sasa sijui wanamaana gani na ni hapa tu kigamboni-kisarawe II
Mkandarasi akishakuchorea, unatakiwa kupambana mwenyewe. Eneo linakuaje surveyed mara mbili? Ni wakati gani ulipewa control number ya kulipia July ama September.
Saivi ni mwendo wa kusubirishwaKama hukuweka umeme wakati wa jiwe kwa wakati huu utateseka sana
mimi sjaekewa hata hiyo nguzo tupuSi Bora nyie October sisi huku Arusha wameweka nguzo tangu July waya hawataki kuleta ajabu wengine wenye connection wanawekewa chap bila usumbufu
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Jiongeze rafiki.. Usipojiongeza hutapata nguzo na utapewa sababu genuine kabisa ambazo hazipingiki hata mahakamaniHabari za muda huu,
Jamani ninaomba kuuliza, tulifanya process za kuomba umeme tangu mwezi wa saba mwaka huu, na tuliwatumia wakandarasi wa hapo hapo tanesco kutujazia na kutuchorea na kurudisha form tanesco Tanga Mjini.
Sasa siku hiyo hiyo alikuja mtu wa kufanya survey na akapima pima pale na kikubwa kilichotakiwa ni nguzo, tukakaa tukisubiri kuitwa kwenda kulipia nguzo iwekwe umeme uingie, tulisubiri mno kwenye mwez wa tisa nikapigiwa sim kama nilishapimiwa nikajieleza tayar wakanambia niende eneo husika niwaelekeze wao wanakuja, nikafika tukaelekezana wakaja wakapima tena baada ya hapo hicho kimya chake skukielewa ikabidi mimi nifunge safar mpaka hapo ofisini kwao.
Nikaomba kuonana na mtu wa kulitatua tatizo langu nikaonana na mama mmoja hivi hata usoni hakuangalii na jibu akataka tu namba na jina la form nikampa akanijibu ukiona tanesco wamekita nguzo kwenye hilo eneo ndio uje.
Nimesubiri kwa muda mrefu mnooo naomba kufahamishwa tatizo ni nini najua wahusika wapo humu nikimpigia yule mkandarasi majibu ni kama hayo sasa sielewi tangu mwezi wa saba had sasa naona zii.
shida unajua nn sjui namfata nani naangukia kwa nani yan ningelengeshwa huyo mhusika angalau ingekua nasema vingine saa hizi hata huyo mkandarasi niliiunganishwa na mtu ila wamenipigia ngoja tuone mwisho wakeJiongeze rafiki.. Usipojiongeza hutapata nguzo na utapewa sababu genuine kabisa ambazo hazipingiki hata mahakamani
Hujatoa rushwaHabari za muda huu,
Jamani ninaomba kuuliza, tulifanya process za kuomba umeme tangu mwezi wa saba mwaka huu, na tuliwatumia wakandarasi wa hapo hapo tanesco kutujazia na kutuchorea na kurudisha form tanesco Tanga Mjini.
Sasa siku hiyo hiyo alikuja mtu wa kufanya survey na akapima pima pale na kikubwa kilichotakiwa ni nguzo, tukakaa tukisubiri kuitwa kwenda kulipia nguzo iwekwe umeme uingie, tulisubiri mno kwenye mwez wa tisa nikapigiwa sim kama nilishapimiwa nikajieleza tayar wakanambia niende eneo husika niwaelekeze wao wanakuja, nikafika tukaelekezana wakaja wakapima tena baada ya hapo hicho kimya chake skukielewa ikabidi mimi nifunge safar mpaka hapo ofisini kwao.
Nikaomba kuonana na mtu wa kulitatua tatizo langu nikaonana na mama mmoja hivi hata usoni hakuangalii na jibu akataka tu namba na jina la form nikampa akanijibu ukiona tanesco wamekita nguzo kwenye hilo eneo ndio uje.
Nimesubiri kwa muda mrefu mnooo naomba kufahamishwa tatizo ni nini najua wahusika wapo humu nikimpigia yule mkandarasi majibu ni kama hayo sasa sielewi tangu mwezi wa saba had sasa naona zii.
nimewatumia inbox jana pia hamjanijibu mpaka sasa ila wamenipigia sim hii asbh wakaniuliza nimepost jf shida nn nikajielezaTafadhali tujulishe umelipia kwa jina gani? Namba ya simu uliyoandika kwenye form yako na Wilaya uliopo hata Dm Kwa hatua zaidi