Nimelipia nguzo TANESCO muda mrefu mpaka leo hawajarudi kunipa huduma

Tatizo ile posho tuyao waomba kwaajili ya kuwaletea huduma haraka mnaiita rushwa
mimi naitaka hiyo huduma mana nilipiga hesabu zangu had Januari inshaallah tukijaaliwa uzima uwe ushaingia sababu nna jambo langu eneo hilo
 
Ulilipia nguzo ya namna gan coz serikali sahv iko katika mpango wa kubadili nguzo za miti nchi nzima na kuweka za concrete ....
 
Tafadhali tujulishe umelipia kwa jina gani? Namba ya simu uliyoandika kwenye form yako na Wilaya uliopo hata Dm Kwa hatua zaidi
 
Jiongeze rafiki.. Usipojiongeza hutapata nguzo na utapewa sababu genuine kabisa ambazo hazipingiki hata mahakamani
 
naomba nitoe mrejesho:


kwanza nyinyi mods mnaboa mimi sjaandika nimelipia nguzo mana hata hiyo control namba siijui ina tarakimu ngapi

mnahariri tu bila hata kusoka content

leo asbh wamenipigia tanesco - Tanga, tukaongea na kuniuliza tatizo nikawajibu shida yangu wamenijibu kama nipo ndani ya miundo mbinu nitapigiwa simu nikachukue control namba na nipo ndani ya miundo mbinu hivo nasubiri simu hapa

nashukuru wahusika wamenipigia hiyo at least nimeona kua wameona shida yangu

asanteni nyote.
 
Jiongeze rafiki.. Usipojiongeza hutapata nguzo na utapewa sababu genuine kabisa ambazo hazipingiki hata mahakamani
shida unajua nn sjui namfata nani naangukia kwa nani yan ningelengeshwa huyo mhusika angalau ingekua nasema vingine saa hizi hata huyo mkandarasi niliiunganishwa na mtu ila wamenipigia ngoja tuone mwisho wake
 
Hujatoa rushwa
 
Tafadhali tujulishe umelipia kwa jina gani? Namba ya simu uliyoandika kwenye form yako na Wilaya uliopo hata Dm Kwa hatua zaidi
nimewatumia inbox jana pia hamjanijibu mpaka sasa ila wamenipigia sim hii asbh wakaniuliza nimepost jf shida nn nikajieleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…