Nimelipia nguzo TANESCO muda mrefu mpaka leo hawajarudi kunipa huduma

mimi sjakuelewa
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Mimi niko tayar kwa chochote shida sasa mkandarasi sjui tuseme hana mtu au vipi yan nataman kumpata mtu mhusika tumalizane
Mtafute huyo surveyor muongee kiutu uzima anaweza akakupa wazo; inawezekana changamoto kubwa walizonazo ni vifaa kuwa vichache, labda nguzo ziko kumi na waombaji wako mia, hapo utafanyaje ili mambo yako yasikwame?
 
mimi sjakuelewa
Nilikuwa na mjibu mdau mmoja hapo juu ambaye anasema nguzo zimesikwa tangu October ila nyaya hamna mpaka sasa tatizo ambalo ni sawa kabisa na sehemu ninayoishi ambapo nguzo zimefungwa tangu August ila nyaya hazijawekwa hata leo ndio maana nikajibu kuwa atasubiri sana.
 
Umeambiwa unatakiwa kulipa kiasi gani?
 
Unasisitiza rushwa...umekomaa kweli, mimi sitoi kitu na wataleta tu
 
Mtafute huyo surveyor muongee kiutu uzima anaweza akakupa wazo; inawezekana changamoto kubwa walizonazo ni vifaa kuwa vichache, labda nguzo ziko kumi na waombaji wako mia, hapo utafanyaje ili mambo yako yasikwame?
nimeshamwambia pia lakini ananambia wala haina haja
 
Umeambiwa unatakiwa kulipa kiasi gani?
sjapigiwa hata kupewa hiyo control namba yan tulivoishia na hao wapimaji nikaenda ofisin kwao nilichojibiwa ni had nione nguzo imewekwa ndio nirudi sasa sielewi ningeambiwa kiasi cha kulipia hata nisingekuja humu shida ni hiki kimya
 
Mimi tangu 19.07. mpaka Sasa bado huduma wanasema hawana vifaa
 
Utakaa gizani tu hakuna namna ahaaaa
nikikaa gizani mimi wewe unapungukia na nini?? kama wewe ni mwanaume broo acha hizi mambo haziendani na jinsia yako
 
oooh we need a right leader not corruption sio lakini haya mambo bila kitu kidogo hata hayaendi na sidhani kama nchi hii rushwa itakuja kufa
Tanzania bila rushwa hakuna haki
 
anhaa haya poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…