Nimelitathimini jengo la Makao Makuu ya CHADEMA pale Ufipa na nimeridhika chama hicho hakijali Maendeleo ya Vitu

Nyie mna majengo ya aina hiyo ila sera mbovu, hivyo hamna faida kwa nchi.

Korea waliopigana vita mwaka 1954 na tukawa tunawazidi kiuchumi, mwaka 1958 walikuwa na hali mbaya, ila leo wanatengeneza simu za Samsung huku Tanzania chini ya CCM kwa miaka 60 sasa, inahangaika na matundu ya choo-John Heche.
 
Pale unapikuta mwenye akili km wewe na unajiita msomi kwa kufikiria majengo mazuri ndo yataondoa umasikini wako hapo, em amka bhana, unaaibisha jukwaa hili
 
Pale unapikuta mwenye akili km wewe na unajiita msomi kwa kufikiria majengo mazuri ndo yataondoa umasikini wako hapo, em amka bhana, unaaibisha jukwaa hili
Kwahiyo majengo yakukodi kama la CHADEMA ndo yanaleta maendeleo? Kama kiongozi kashindwa kujenga ofisi ataweza kujenga nchi?
 
Wapo walioshika dola wakiwa hawana hata ofisi na waliendesha vikao vyao kwenye vijiwe vya kahawa..
 
Chadema wakishika nchi watajenga chama Chao kabla ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…