Nimeliwa baada ya kutrade forex hela ya matumizi ya nyumba na nauli ya mdogo wangu kwenda shule.

USIJALI MKUU,
1.TAFUTA KAUSHA DAMU
2.CHUPI MKONONI.

WEKA BONDI FRIJI, GODORO,TV.
HALAFU HIYO PESA PELEKA KWENYE FOREX
 
Niuzie simu yako uliyotumia kuandika hii thread
 
Halafu na hela kidogo iliyobaki nayo ukainunulia bundle ili uje uji trendishe mitandaoni. Ama kweli wewe ni sikio la kufa
 
Hahahahaaa yani unatrade kwa kutumia hela ya matumizi? Na hii January ilivyo ndefu utakoma
 
Betting hata ukiliwa unaona kabsa nimeliwa kihalali
 
Wewe ni ME au KE? Umeliwa nini? Hahahahaaa!!!
 
We mpumbavu kwerikweri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…