Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulitegemea nini kuingia kwenye hiyo biashara. Kinacho zaa kinakufa, hiyo ndiyo nitolee wajanja wameshachukua chao. Jua hii mifumo imewekwa na watu wenye akili sana. Wewe mbugilambugila mwenzangu na mie unaingia kichwa kichwa unanyilewa bila kutiwa maji.dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex.
najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote kwenye forex.
Sina hata senti tano mpaka hivi sasa wakuu naomba ushauri nifanye nini mimi.
Sio mara moja huwa napatapata hela ila mara hii nimeingia tamaa daah.
Nimelose trade ya kwanza nikataka kurevenge.
Naomba msaada wenu jamani nafanyaje mimi.
Kabisa forex watu wameweka awawez pata hasara ni sawa na bonaza la mchina.Wewe ulitegemea nini kuingia kwenye hiyo biashara. Kinacho zaa kinakufa, hiyo ndiyo nitolee wajanja wameshachukua chao. Jua hii mifumo imewekwa na watu wenye akili sana. Wewe mbugilambugila mwenzangu na mie unaingia kichwa kichwa unanyilewa bila kutiwa maji.
Mwambie ume trade [emoji4][emoji3][emoji16]Kumanina najuta aise kichwa kinaniuma hpa keshokutwa dogo anaenda shule na bi mkubwa ananiulizia
januar ya mwaka huu fupi sana ona tu leo tareh ganiHahahahaaa yani unatrade kwa kutumia hela ya matumizi? Na hii January ilivyo ndefu utakoma
Forex yenyewe ni bureau de change ya online at least uwe na million 30 Ndio utapata faida, wanachezaga Watu wa forex huku hakiwezi kumtajirisha mtu hadi Yesu anarudi... Per day exchange rate inabadirika kwa .00 - .99 tu, yaani ukisinzia unakuta hela zako zinapotea kama majiHii forex imemfanya jirani yangu kitu mbaya sana yaani muda wote kama chizi ukimuuliza kuhusu forex na aanze kuonyesha flow ya pesa
Halafu kuna wajinga wa forex wanatuponda sisi wa betting wakati sisi tunacheza vitu real yaani kama leo Girona 3- Athletico Madrid 2 halafu naweka mia yangu natulia tuli
How do you trade your money for expenses..Daa sawa kk
Kwa hiyo hii kitu haifai kabisa?Forex yenyewe ni bureau de change ya online at least uwe na million 30 Ndio utapata faida, wanachezaga Watu wa forex huku hakiwezi kumtajirisha mtu hadi Yesu anarudi... Per day exchange rate inabadirika kwa .00 - .99 tu, yaani ukisinzia unakuta hela zako zinapotea kama maji
Hivi mna akili kweli?Dah jamaa yangu mara mia ungeniambia nikupe odd 200 ungekula zako milion kadhaa sijui ungenikumbuka dah hy dunia noma ila afathar wewe mwenzako niliweka pesa ya mgonjwa kulipia hospitar ni pesa ndefu yote nikaliwa ila unajua nini japo utakutana na changamoto ila yatapita na wala halidumu hata siku5 jibu utakuwa umepata usijipe stres hy nipesa tu ipo tu we unalia ada ambapo hata mtoto wiki mbil mbele anaenda mwenzako, mgonjwa yupo chumba cha upasuaji inaitajika pesa ndipo apasuliwe baba vuta picha afu muhun ndio nimeweka pesa ya mchango forex na betpawa ile naangalia mkeka lost ile naangalia apu ya forex lost mzee achaa afu saa bado moja upeleke pesa kama laki nane hivi niseme tu jomba huna tatizo wenye matatizo tumetulia tu hapa ila yamepita
Kama umewahi kuona kijana wa kibongo tayari wa forex mleteKwa hiyo hii kitu haifai kabisa?
Hiyo anayo, sawa na mlevi pesa ya chakula, mavazi na pango hana ila ya pombe anayo.Pesa ya kucheza tena anaitoa wapii