Nimeliwa baada ya kutrade forex hela ya matumizi ya nyumba na nauli ya mdogo wangu kwenda shule.

Hii forex imemfanya jirani yangu kitu mbaya sana yaani muda wote kama chizi ukimuuliza kuhusu forex na aanze kuonyesha flow ya pesa

Halafu kuna wajinga wa forex wanatuponda sisi wa betting wakati sisi tunacheza vitu real yaani kama leo Girona 3- Athletico Madrid 2 halafu naweka mia yangu natulia tuli
Kuna jamaa yangu naona amedhamilia kabisa kuniingiza na Mimi huko forex,maana yupo busy kunishawishi usiku na mchana mara anionyeshe sijui ametoa pesa dollar [emoji383] kadhaa...basi tabu tupu.
 
dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex.
najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote kwenye forex.
Sina hata senti tano mpaka hivi sasa wakuu naomba ushauri nifanye nini mimi.
Sio mara moja huwa napatapata hela ila mara hii nimeingia tamaa daah.
Nimelose trade ya kwanza nikataka kurevenge.

Naomba msaada wenu jamani nafanyeje?
Forex is not for everybody!
 
dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex.
najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote kwenye forex.
Sina hata senti tano mpaka hivi sasa wakuu naomba ushauri nifanye nini mimi.
Sio mara moja huwa napatapata hela ila mara hii nimeingia tamaa daah.
Nimelose trade ya kwanza nikataka kurevenge.

Naomba msaada wenu jamani nafanyaje mimi.
Endelea kutengeneza videos na memes zilushe mtandaoni hiyo ni biashara nzuri sana. Acha kutoa ushauri indirectly kwa watu wanaofanya forex kwasababu hawatokusikiliza wewe idiot.
 
dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex.
najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote kwenye forex.
Sina hata senti tano mpaka hivi sasa wakuu naomba ushauri nifanye nini mimi.
Sio mara moja huwa napatapata hela ila mara hii nimeingia tamaa daah.
Nimelose trade ya kwanza nikataka kurevenge.

Naomba msaada wenu jamani nafanyaje mimi.

hyo ndio sura yako!!
we lia tu hamna mtu atakuelewa kwa iyo sura! we kua tu strong
 
Back
Top Bottom