Nimeliwa baada ya kutrade forex hela ya matumizi ya nyumba na nauli ya mdogo wangu kwenda shule.

Wewe ulitegemea nini kuingia kwenye hiyo biashara. Kinacho zaa kinakufa, hiyo ndiyo nitolee wajanja wameshachukua chao. Jua hii mifumo imewekwa na watu wenye akili sana. Wewe mbugilambugila mwenzangu na mie unaingia kichwa kichwa unanyilewa bila kutiwa maji.
 
Never chase your money, sijui icho kingreza kama nimepatia lakini
 
Kabisa forex watu wameweka awawez pata hasara ni sawa na bonaza la mchina.
 
Unarevenge market ulizani soko linaendeshwa na mjomba wako au?
 
Forex yenyewe ni bureau de change ya online at least uwe na million 30 Ndio utapata faida, wanachezaga Watu wa forex huku hakiwezi kumtajirisha mtu hadi Yesu anarudi... Per day exchange rate inabadirika kwa .00 - .99 tu, yaani ukisinzia unakuta hela zako zinapotea kama maji
 
Kama una hata elf 10 imebaki nenda kacheze poki casino utashinda milioni 8 za fastaa,
 
Dah jamaa yangu mara mia ungeniambia nikupe odd 200 ungekula zako milion kadhaa sijui ungenikumbuka dah hy dunia noma ila afathar wewe mwenzako niliweka pesa ya mgonjwa kulipia hospitar ni pesa ndefu yote nikaliwa ila unajua nini japo utakutana na changamoto ila yatapita na wala halidumu hata siku5 jibu utakuwa umepata usijipe stres hy nipesa tu ipo tu we unalia ada ambapo hata mtoto wiki mbil mbele anaenda mwenzako, mgonjwa yupo chumba cha upasuaji inaitajika pesa ndipo apasuliwe baba vuta picha afu muhun ndio nimeweka pesa ya mchango forex na betpawa ile naangalia mkeka lost ile naangalia apu ya forex lost mzee achaa afu saa bado moja upeleke pesa kama laki nane hivi niseme tu jomba huna tatizo wenye matatizo tumetulia tu hapa ila yamepita
 
Kwa hiyo hii kitu haifai kabisa?
 
Hivi mna akili kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…